Kwa wanaume: umeshawahi kuungwa kwenye group la wanawake?

Hahahaha[emoji23]
 
Usinitamanishe sasa loh[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39].. Maana siku hizi naambiwa sio asali tena ni pipi kifua[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na utakoma ushapitwa na wakat, sio hiyo tyuuh hadi biskuti Maria. Mweeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaah lol
 
Sijawahi kuungwa.

Ila kipindi nikiwa bado dogo miaka kadhaa iliyopita, kuna shemeji yangu mke wa kaka yangu alikuwa ananipa smartphone yake kucheza games. Na alikuwa haweki password.

Mwanzoni nilikuwa loyal kweli, nilikuwa nacheza game tu. Siku moja shetani akanipitia, nikasema ngoja nione na huku whatsapp kunani?. Ndio nikakuta hilo group la wanawake.

Aisee! Nilichogundua wanawake wanapenda ngono kuliko sisi wanaume. Asilimia 95 ya story zao ni ngono na makolokolo mengine yenye uhusiano na ngono.
 
Dah niliungwa group watsap sasa mada siku hiyo ilikua ni limbwata wamemwalika na mganga kabisa et anatoa elimu na Aina za limbwata na wanawake wanaomba dawa n wengi Dadek πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! Wanaume Mungu atusaidie tu,,, nlileft siku iyo iyo.
 
Kuna njemba moja ilitufanyia uhuni tumejiachia kwenye group tukijua ni ladies peke yetu kumbe kuna mjuba mmoja anatuchora tu kuja kumgundua hatuna hamu na group tukaua
Mlimbaka????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]
 
Mlimbaka????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji31][emoji31][emoji31][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilifungua akaunti zenye jina la kike nikazama kwenye magrupu yao wakidhani mimi ni mwenzao. Aisee kilichokuwa kunadiskasiwa huko ni balaa
 
Fb. Nikawa nashangaa wanawake wanavyoongea mambo ya chumbani bila tafsida. Kumbe hawakujua kama nawachora. Sikuwai kucomment ili niendelee kupata siri zao. Baada ya kama miezi mitatu wakanileftisha lakini nilikuwa nimeshaona mengi ikiwemo idadi kubwa ya wanawake kupenda hogo na wengi hawana uvumilivu wa kutokupeana tofauti na wanavyotuaminisha hapa jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…