Kwa wanaume: umeshawahi kuungwa kwenye group la wanawake?

Mwamba aliishia wapi mwishowe? Hii inapaswa kuwa na muendelezo.
 
Wadada wengi wana kaunafiki fulani hivi. wanayoyasema kwenye platform mchanganyiko ni tofauti na kwenye platform za jinsia zao. Kuna dau hapa kwa mdada atakaenisaidia kuwa linked kwenye group Lao.
 
Kuna njemba moja ilitufanyia uhuni tumejiachia kwenye group tukijua ni ladies peke yetu kumbe kuna mjuba mmoja anatuchora tu kuja kumgundua hatuna hamu na group tukaua
Kumbe upo legendary mkongwe wa JF? Zamani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…