kwa wanaume upendo ni nini?


wanawake (including me) vichwa vyetu ni maji matupu. Kuna mtu anakuonyesha kwamba hapa nakutamani siyo vingine, unaona unakosa maarifa at the same time unaanza kuwaza ndoa na mtu uliyekutana nae ndani ya dakika 10? hivi kweli tutafika? Unatembea na mme wa mtu unakoda macho upate ndoa? Nahidi tuna laana ya kukosa maarifa.

Wanaume na nyie msitake adavantage ya tatizo letu, feel kama ni dada yako anafanyiewa hivyo utafurahi?
 
Nahisi ni ubinafsi wenu tu wala hatuna tatizo sie
 
<br />
<br />
Nashukuru umemaliza kabisa. ila hapo mwisho cna chakusaidia hatakama nisipofurai ndio anatendewa2 ndio formula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…