kwa wanaume upendo ni nini?

kwa wanaume upendo ni nini?

Wakati mwanaume anakuja kwako ana mawili kichwani
Kuwa mpenzi wake na may be future wife wake. Ila kuna mambo ambayo yanatokea hapo kati unajikuta unaishia kutopenda ukajikuta unamtamani na unatamani kungonoka nae tuu na usiwe na malengo yoyote na mhusika.
Kuna wengine real inakuwa ni kuwa tunawatamani tuu na tunawatamani kungonoka nao na kuwaacha ila sitakuonyesha kuwa nakutamani ila nitakuwa na real love kwako ili nipate what i need
Yaani hujakaa kuwa mke ndo maana naishia kukutamani tuu
Na wengi wengu katika umri wa kabla ya ndoa asilimia kubwa ya wale tunaowaambia tunawapenda pale hakuna real love ila kutamani
Ikifikia ule umri sasa wa kuw ana mwenza hapo nitamtafuta mmoja ambaye nitampenda kweli na sio kumtamani
Kama ni mwanamke wa kutamani nikishalala nae sana inafikia kipindi unamchoka na unaamua kubadilisha au umemuona mwingine bomba kuliko wa kwanza hapo lazima ufanye juhudi za kumuacha yule wa kwanza hata kwa visa ili kupata mpya
Duh ni mawazo yangu tuu hayo usinipige mawe Ma Jerry

wanawake (including me) vichwa vyetu ni maji matupu. Kuna mtu anakuonyesha kwamba hapa nakutamani siyo vingine, unaona unakosa maarifa at the same time unaanza kuwaza ndoa na mtu uliyekutana nae ndani ya dakika 10? hivi kweli tutafika? Unatembea na mme wa mtu unakoda macho upate ndoa? Nahidi tuna laana ya kukosa maarifa.

Wanaume na nyie msitake adavantage ya tatizo letu, feel kama ni dada yako anafanyiewa hivyo utafurahi?
 
Nahisi ni ubinafsi wenu tu wala hatuna tatizo sie
 
wanawake (including me) vichwa vyetu ni maji matupu. Kuna mtu anakuonyesha kwamba hapa nakutamani siyo vingine, unaona unakosa maarifa at the same time unaanza kuwaza ndoa na mtu uliyekutana nae ndani ya dakika 10? hivi kweli tutafika? Unatembea na mme wa mtu unakoda macho upate ndoa? Nahidi tuna laana ya kukosa maarifa. <br />
<br />
Wanaume na nyie msitake adavantage ya tatizo letu, feel kama ni dada yako anafanyiewa hivyo utafurahi?
<br />
<br />
Nashukuru umemaliza kabisa. ila hapo mwisho cna chakusaidia hatakama nisipofurai ndio anatendewa2 ndio formula
 
Back
Top Bottom