Kwa wanaume: Ushawahi kukutana na mwanamke mrembo ukashindwa nini cha kufanya?

Kwa wanaume: Ushawahi kukutana na mwanamke mrembo ukashindwa nini cha kufanya?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,801
Reaction score
6,806
Habari la hili jukwaa,

Japo sijapotea sana huku jukwaani napitaga kimya kimya.

Hili hali ilishanitokea sana, huwa nikikutana na mwanamke mrembo haswa huwa naishiwa pozi naweza kusahau ata salamu. Huwa inanitokeaga mara moja moja nimemuona mrembo alafu moyo ukapenda naishiwa pozi kabisa.

Je ushawahi kutokewa na jambo kama hilo umemuona mwanamke ukampenda au umemuona kwa mara ya kwanza pozi lote likaisha ukashindwa nini cha kufanya.

Tupeni uzoefu kama ushawahi pata hiyo hali.

NB: Haiwahusu wanawake wa huku maana wote warembo ila wengi wenu ...(sitaki povu)
 
Habari ziwafikie warembo wote.. Ukimuona mwanaume kaishiwa pozi yaani Kama kachanganyikiwa hivi, ujue kakupenda au kashindwa jinsi ya kukuanza japo kakuita.. Basi wewe muanze iliumrahisishie
 
MWANAUME KAMILI UNASHNDWAJE CHA KUFANYA? HYO NI SAWA NA FISI KUKUTANA NA MFUPA ASHNDWE LA KUFANYA
 
Back
Top Bottom