Kwa wanaume: Ushawahi kukutana na mwanamke mrembo ukashindwa nini cha kufanya?

Kwa wanaume: Ushawahi kukutana na mwanamke mrembo ukashindwa nini cha kufanya?

Sikumbuki ni mwaka gani na ilikuwa wapi nilikutana na mrembo Me too na nilishindwa kuongea
 
Hata mie ilishanitokea, niliishiwa maneno ya kuongea kabisa niliongea maneno kama 750 hivi alafu huyo akaondoka
 
Nakumbuka ilikuwa mji kasoro bahari-morogoro.

Nilikuwa nakata mitaa ya mji kwa guu langu...ghafla bin vuu..nikakutana na Binti mrembo haswa walahi moyo nilihisi kusimama(wakati mwingine tukisema Kuna watu wamependelewa wengine hununa...ukweli haujifichi Jaman.)


Alikuwa na urefu wa wastani,miguu kama ya bia aina ya tusker,macho legevu utadhani amevuta majani ya Jamaica huo mushape sasa wacha kabisa...kwa kweli ilibidi niishie kumupa salamu tu.
 
Nilikuwa naogopa nikamwambia mambo huku nikiwa naendelea kutembea Kama vile siongei na yeye alisimama akaniangalia kwa dharau akasepa SEMA nilikuwa teenage boy
 
Ukiingia Instagram na ule uzi wa warembo wakali worldwide, mademu wote wa mitaani unawaona mbuzi tu. Talking about exposure.
 
Back
Top Bottom