Kwa wanaume wa Dar

Kwa wanaume wa Dar

Hanitoni

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
1,146
Reaction score
990
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.

Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...

+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu

Mnachokiweza na kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.

Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko . mkija hakuna mnalofanya..

Mfano:

#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"

#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"

Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.

Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
 
Aisee hivi huenda ndo sifa za waname wa Dar, maana kila siku wao tu
 
Kwani uanamume unapimwa kwa kuchimba makaburi,kulia au kupanda mwendo kasi?
Kwa kuchukua muda wako tu kuandika riwaya hiyo hapo juu,tayari ushatutia mashaka juu ya uanamume wako.
Mwanaume hajisifii kama Hadija kopa,mwanaume wa kweli hawezi kudharau uwezo wa mwanaume mwenzake.
Ni mashoga tu na wanawake ndio wenye tabia ya kutambiana nani yupo juu ya mwenzie,nani ana uwezo wa kutemebea na wanaume wengi n.k
 
Wanaume wa Dar na mifano ya Taarabu!!
 
Ni utaratibu tuliojiwekea kama watz kwamba mgeni lazima apewe kipaumbele, acha kubana pua kwa hoja dhaifu.Shut up, kojoa, ukalale.
 
Lakini ukweli ni kuwa sisi tuliokulia mikoani huwa hatunywi maji ya chupa na huwa tunahisi hayatulizi kiu.
Kwa hiyo kwa vyovyote mkiletewa maji ya chupa mtajua kuwa haya hayatuhusu.
 
Wanaume wa mikoani wana wivu wa kike balaa... Hilo ndio tatizo la kushinda mashambani na mundu mkikata majani ya ng'ombe na wake zenu... Mwisho wa siku akili zenu zinafanana.
Sasa mtu anaona wivu mtu akipewa maji ya chupa [emoji23][emoji23][emoji23], mtu anaona wivu wanaume wa daslama wanavyopewa priority kwenye maakuli msibani!!!!
Kiukweli acheni ulugaluga...
 
Wanaopaswa kupewa kipaumbele ni watoto na wanawake. Ukiona ki-mwanaume kinapewa kipaumbele chukua tahadhari.
 
Wanaume wa mikoani wana wivu wa kike balaa... Hilo ndio tatizo la kushinda mashambani na mundu mkikata majani ya ng'ombe na wake zenu... Mwisho wa siku akili zenu zinafanana.
Sasa mtu anaona wivu mtu akipewa maji ya chupa [emoji23][emoji23][emoji23], mtu anaona wivu wanaume wa daslama wanavyopewa priority kwenye maakuli msibani!!!!
Kiukweli acheni ulugaluga...
Anausongo, akitoka kuchimba kaburi anakuta minofu yote ya nyama wamewekewa wanaume wa Dar😀😀😀
 
Mtuache, si tushazoea bata, tunatumia akili nyingi zaidi ya nguvu, maisha yetu Ni full swagger, kulelewa ndo kazi yetu, facebook, insta ndo mtaani kwetu, kunywa maji mengi Ili kukwiva ndo mauzo yetu, kuendesha magari ya shemeji zetu Na kupaki mlimani city samaki samaki ndo kazi yetu, kupiga selfie kwenye ma supermarket hasa mwenye ngazi za kutembea (escalators) ndo burudani zetu, kuongea swanglish hata Kama hatujaenda skul ndo inatupa watoto WA kishua, kuvaa hereni ndo bling zetu, kula viepe Na supu ya pweza ndo tunapata nguvu ya kucheza viduku, kunyoa kiduku Na kuvaa t-shirt zenye v-style kwa chini ndo Kama tupo unyamwezini vile. Yaani acha Tu Dar Kama new York.

Mtuache bana nyie endeleeni kula mihogo Na udaga, mbona sisi hatu mind

Dar hakuna Mashamba baab, huku full lami Na taa za barabarani,
 
uploadfromtaptalk1471201221276.jpg
 
...haha, exactly haya ndo maisha yetu ya selfie
Alafu eti wakwambie chimba kaburi[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] wanamatatizo sizani ata jembe Kama mwaweza shika
 
...na nyie bush stars msije mjini, mkija huku mnatusumbua Sana kushangaashangaa, Mara mmetapeliwa, Mara kupiga picha pale askari monument, Mara daraja la kigamboni,
Halafu mnatuchosha Na mimaswali yenu, Mara hii gari inaenda wapi wakati gari zote zimeandikwa, kutangazwa hovyo misikitini Na vituo vya redio kuwa mmepotea, kutuvalia nguo za marangirangi Kama vile disco light, mkienda coco mna poop kwenye maji, bakini hukohuko tutakuja
 
..
Alafu eti wakwambie chimba kaburi[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] wanamatatizo sizani ata jembe Kama mwaweza shika
.jembe la nini wakati mnatuketea kila kitu huku, tena mnachagua vile vilivyonona, kwanza huku kila sehemu lami baab
 
Back
Top Bottom