Kwa wanaume wa Dar

Kwa wanaume wa Dar

Nawasikitikia wanaume wa Dodoma kwani sasa taifa linahamia kule na wanaume mashoga wote wa Dar wameshaanza kufurika Dodoma kutafuta mabasha.
 
Wanaume wa mikoani wana wivu wa kike balaa... Hilo ndio tatizo la kushinda mashambani na mundu mkikata majani ya ng'ombe na wake zenu... Mwisho wa siku akili zenu zinafanana.
Sasa mtu anaona wivu mtu akipewa maji ya chupa [emoji23][emoji23][emoji23], mtu anaona wivu wanaume wa daslama wanavyopewa priority kwenye maakuli msibani!!!!
Kiukweli acheni ulugaluga...

We wajua mpaka Mundu, Dar muamiaji
 
ushamba mzigo,mtabakia kuwa nyuma kama mikia ya mbuzi,wa dar ndo sisi na wakali zaidi yenu,ukimuona mtu ana kudiss ujue anakukubali,
 
Dar mutakuja Tuu no way
UHAMIAJI
AIRPORT
BIASHARA ZOTE DAR
KWENDA ZANZIBAR utapita Dar
KUUZA MAZAO YENU
PEMBEJEO MUNATOA DAR
halafu hiv hamuna Ndugu Huku? Tena ndo wanasaidia pesa mpaka za kuwapa wake Zenu na watoto?
Endelea Kuiponda Dar bint yako akija kusoma huku ntamtafutia Ajira
 
Mtuache, si tushazoea bata, tunatumia akili nyingi zaidi ya nguvu, maisha yetu Ni full swagger, kulelewa ndo kazi yetu, facebook, insta ndo mtaani kwetu, kunywa maji mengi Ili kukwiva ndo mauzo yetu, kuendesha magari ya shemeji zetu Na kupaki mlimani city samaki samaki ndo kazi yetu, kupiga selfie kwenye ma supermarket hasa mwenye ngazi za kutembea (escalators) ndo burudani zetu, kuongea swanglish hata Kama hatujaenda skul ndo inatupa watoto WA kishua, kuvaa hereni ndo bling zetu, kula viepe Na supu ya pweza ndo tunapata nguvu ya kucheza viduku, kunyoa kiduku Na kuvaa t-shirt zenye v-style kwa chini ndo Kama tupo unyamwezini vile. Yaani acha Tu Dar Kama new York.

Mtuache bana nyie endeleeni kula mihogo Na udaga, mbona sisi hatu mind

Dar hakuna Mashamba baab, huku full lami Na taa za barabarani,
bila shaka ww ni mmoja wa KAOGE.unajisifia kulelewa na nd maana mnaolewa.fulu taarab dume zima
 
ushamba mzigo,mtabakia kuwa nyuma kama mikia ya mbuzi,wa dar ndo sisi na wakali zaidi yenu,ukimuona mtu ana kudiss ujue anakukubali,
mkifa mnarudi kufukiwa mikoani pamoja na mbwembwe zoote hizo
 
Wewe acha kujidanganya dar ndio tanzania we mkulima, dar watu hawatumii nguvu akili nyingi tu ndio kila kitu, zamani chuo kikuu mlikuwa mnakuja kusoma dar, makao makuu ya kila kitu tanzania yako dar hata ukitaka urais wa tanzania lazima uwe unaishi dar, hata ma don na mabig father Wote wa hii nchi wanaishi dar, mstakabali wa taifa hili huwa unaamuliwa dar siajabu hata mbunge wako uliyempigia kula anaishi dar, mazao yote mnayolima bush huko mnakuja kuuzia dar, mzunguko wa hela katika nchi hii unaanzia dar ndio na nyie huko mnapata hela.
Matajiri woote wanaofahamika na hawapati hela kichawi na kiganga wako dar. Idadi kubwa ya wachawi tanzania mnao bush huko, mauaji ya albino na mabibi wazee ni huko kwenu, barabara mbovu, kukosa umeme, maji ni huko, dar ndio priority ya kila kitu tanzania hapa, hujiulizi kwanini ndugu zenu wakija dar hapa hawataki kurudi? Na sikuhizi toka tumeanza kuwaletea smart phone huko naona imekuwa shida, DAR HAKUNA MINADA KAMA YA KWENU HUKO BRO, huku maduka kila kona, muda ndio kitu muhimu sana huku, dar hakuna shamba wala machimbo ya dhahabu ni akili tu kichwani hatutumii nguvu huku, unafikiri kuna mtu kutoka dar anaweza kusumbuka na hao dada zenu wasiooga, na unafikiri kuna mdada wa dar anaweza kushoboka na wewe usiyejua kuoga na hela huna mfukoni..
PIGA KAZI BRO UWE NA MKWANJA ACHA KUWA NA WIVU NA WATU WA DAR.
 
Agizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.

Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...

+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu

Mnachokiweza na kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.

Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko . mkija hakuna mnalofanya..

Mfano:

#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"

#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"

Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.

Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"

Naona unaleta mipasho humu! Usikute unatumia kilainishi
 
Wewe acha kujidanganya dar ndio tanzania we mkulima, dar watu hawatumii nguvu akili nyingi tu ndio kila kitu, zamani chuo kikuu mlikuwa mnakuja kusoma dar, makao makuu ya kila kitu tanzania yako dar hata ukitaka urais wa tanzania lazima uwe unaishi dar, hata ma don na mabig father Wote wa hii nchi wanaishi dar, mstakabali wa taifa hili huwa unaamuliwa dar siajabu hata mbunge wako uliyempigia kula anaishi dar, mazao yote mnayolima bush huko mnakuja kuuzia dar, mzunguko wa hela katika nchi hii unaanzia dar ndio na nyie huko mnapata hela.
Matajiri woote wanaofahamika na hawapati hela kichawi na kiganga wako dar. Idadi kubwa ya wachawi tanzania mnao bush huko, mauaji ya albino na mabibi wazee ni huko kwenu, barabara mbovu, kukosa umeme, maji ni huko, dar ndio priority ya kila kitu tanzania hapa, hujiulizi kwanini ndugu zenu wakija dar hapa hawataki kurudi? Na sikuhizi toka tumeanza kuwaletea smart phone huko naona imekuwa shida, DAR HAKUNA MINADA KAMA YA KWENU HUKO BRO, huku maduka kila kona, muda ndio kitu muhimu sana huku, dar hakuna shamba wala machimbo ya dhahabu ni akili tu kichwani hatutumii nguvu huku, unafikiri kuna mtu kutoka dar anaweza kusumbuka na hao dada zenu wasiooga, na unafikiri kuna mdada wa dar anaweza kushoboka na wewe usiyejua kuoga na hela huna mfukoni..
PIGA KAZI BRO UWE NA MKWANJA ACHA KUWA NA WIVU NA WATU WA DAR.
Naona mnabaguana wenyewe kwa wenyewe!! Halafu mkija kubaguliwa na Muhindi,Mzungu au Mwarabu,mnakimbilia JF kuja kufungua thread za kulia lia humu eti mmebaguliwa?!
 
Naona unaleta mipasho humu! Usikute unatumia kilainishi
vilainishi c vipo kwa ajili ya nyie wanaume wa dar kina kaoge.huko c ndo mko mashoga na mapunga mengi ukiwemo na ww mliwa jicho
 
Naona mnabaguana wenyewe kwa wenyewe!! Halafu mkija kubaguliwa na Muhindi,Mzungu au Mwarabu,mnakimbilia JF kuja kufungua thread za kulia lia humu eti mmebaguliwa?!

Bro sijambagua mtu mimi nimezungumza ukweli, halafu ukiangalia sana huyo jamaa ndio ameamza kubagua watu kwa kujiona yeye bora zaidi ya wengine pia mwisho kabisa nimemwambia afanye kazi kwa bidii apate mkwanja na sio kuleta hizo blah blah..
 
Back
Top Bottom