Wanaume wa dar wengi wenu ni mabwabwa utakuta kijamaa kina pigo za ki she is afu wanarembua kama asha ngedere alafu wanajisifia tu kupaka poda na uhuni wa ajabuajabu tizama wanaume washoka kutoka mkoa wakija huku wanavyo kubalika mpaka madem zenu wanaenjoy show za wanaume wa mkoan