Kwa wanaume wa mikoani

Kwa wanaume wa mikoani

starspoint21

Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
33
Reaction score
12
Habari zenu wakuu.
Hii vita baridi kati ya wanaume wa dar na wanaume wa mikoani naona inazidi kushika kasi na sijui nani atakuja kuiamulia.
Nasema hivi baada ya kukaa na kulitathimini hili tangazo la VODACOM la PESA NI MPESA ambapo wanaume wa dar wameamua kuchukua platform waliyo nayo kuwa nyuka wenzao wa mkoani.
Kwenye hili Tangazo linaonesha mwanaume wa mkoani akishuka kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani ubungo akiwa na hofu ya kuibiwa fedha zake huku kwengine kote akizidi kuoneka mshamba kwa kutembea na kutaka kufanya malipo kwa cash wakati wenzake wamesha endelea kwa kutumia Mpesa.
Pole sana wanaume wa mkoani kwa hili.
 
tapatalk_1515291362968.jpeg
 
Wanaume 100% WA dar 75% wanatumia Viagra na viongeza nguvu za kiume,20% hAta Viagra haiwasaidi tena,5% wakosawa
 
Back
Top Bottom