kwa wanaume walio oa (kina baba flani)

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
tunaishi nae compound moja ana mke
sina muda nao kabisa kabisa
one day nikatoka kwenda shop akaniomba no maana linaweza kutokea tatizo kama jirani tusaidiane nikampa
from there kila siku ananipigia,ananiuliza kuhusu love affairs zangu,anataka tukae mahali tuongee.
nimechange no kwa ajili ya mpuuzi yule
kiukweli
sipendi kabisa urafiki na mume wa mtu sipendi..... sio huyu tu woote
tulieni na wake zenu tulieni
wkendi njema tulieni na wake zenu. acheni unafiki

pili
ni wkend mdada kakaa sehemu kutuliza kichwa hataki usumbufu, nyie wanaume mnaanza kusumbua .... ooh dada nikae hapa ? naruhusiwa ? wakati eneo ni kubwa na nafasi zipo zimejaa
kwanini lakini? mbona sisi hatuwasumbui? mbona sisi hatuwafati ...tuache kusumbuana
wkend njema
 
Ulimwambia lakini, sidhani kama anakuja humu jamvini. Ungempa za uso kuliko kubadilisha no, utabadilisha mara ngapi?
yaani nikimuana tu nahisi kichwa kuuma.siwezi kustand mwanaume mnafiki.
 
asi ungempasha live
au ana id umu jf?

naona km vilemsuto wa klinik umeupeleka benk......TAFAUT....mfate.mpashe.....cha kukuarbia contact yahuu? uchange namba kwa ajili ya gume gume? tel him liveastop ***** akijifanya mbishi we tafuta sahihi mbili tu moja yako moja ya mke wake then mumtoe madarakan..:shut-mouth:
 

Hahahaahha kituko................labda ulimvalia kimini na kitop
 

Real identity ya mwanamke, akisema no ujue yes, akisema yule alishanitongoza ujue keshakula.
 
kanipigia hapa sasa hv ndo maana nikapost nahama na nyumba kabisa
 
akinipigia tena namwambia mkewe

Huna hata haja ya kumuambia mkewe. Mwambie yeye mwenyewe tu bila kumung'unya maneno.

Mwambie hutaki na hupendi urafiki na mume wa mtu kwa hiyo hutaki kuwa rafiki yake.
 
Pole sana Smile mpaka huu mwaka uishe utakuwa na PHD na mwalimu mzuri kwa wengine.
 
Huna hata haja ya kumuambia mkewe. Mwambie yeye mwenyewe tu bila kumung'unya maneno.

Mwambie hutaki na hupendi urafiki na mume wa mtu kwa hiyo hutaki kuwa rafiki yake.
nahama na nyumba kabisa
 

usinikumbushe ya The Boss na sheria za kuishi na nyumba ndogo pole sana mwanadafada Smile kweli ukubwa jiwe..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…