kwa wanaume walio oa (kina baba flani)

kwa wanaume walio oa (kina baba flani)

tunaishi nae compound moja ana mke
sina muda nao kabisa kabisa
one day nikatoka kwenda shop akaniomba no maana linaweza kutokea tatizo kama jirani tusaidiane nikampa
from there kila siku ananipigia,ananiuliza kuhusu love affairs zangu,anataka tukae mahali tuongee.
nimechange no kwa ajili ya mpuuzi yule
kiukweli
sipendi kabisa urafiki na mume wa mtu sipendi..... sio huyu tu woote
tulieni na wake zenu tulieni
wkendi njema tulieni na wake zenu. acheni unafiki

aaaahaaa!!!!!!!!!! smile bwana, wewe si bikra lakini? ilinde bwana, RUTA, anakuheshim sana
 
Wengine wanatoa pole ya mdomoni, maana ingekuwa kwao wangeona ni bahati teh teh teh
 
No, mchane mwenyewe. Usimuongezee pressure mama wa watu!
tena nilimuona kwa mbali sijui ni mjamzito kila saa kaunga simu hadi charge inaisha. ananidai?
 
kiukweli
sipendi kabisa urafiki na mume wa mtu sipendi..... sio huyu tu woote

Hapo kwenye red nakataa! Jiulize mara mbili ! U mean wanaume wote wa DUNIA hii(waliooa)....aa wap!!
 
tunaishi nae compound moja ana mke
sina muda nao kabisa kabisa
one day nikatoka kwenda shop akaniomba no maana linaweza kutokea tatizo kama jirani tusaidiane nikampa
from there kila siku ananipigia,ananiuliza kuhusu love affairs zangu,anataka tukae mahali tuongee.
nimechange no kwa ajili ya mpuuzi yule
kiukweli
sipendi kabisa urafiki na mume wa mtu sipendi..... sio huyu tu woote
tulieni na wake zenu tulieni
wkendi njema tulieni na wake zenu. acheni unafiki

Afu mbona sijaona kama kakutongoza?zaidi ya kukuulizia your love affairs na kusema mkae sehemu muongee!! au ndo kule kujishtukia?
 
Jana usiku pale paradise mbona hukuniambia kitu kama hicho Smile
 
inawezekana alikuomc namba kwa kiswahi, we ukamtajia kwa kidhungu... zero, seven... ufa ukaomba ukubip.. pole
 
ndio maisha na vituko vyake sikushauri uhame nyumba maana utahama ngapi ofisi nazo utahama ngapi watu wa sampuli izo wapo kila sehemu hata makanisani wapo baada ya wimbo wa kitubio tu anageuka amesahau yote ni wewe mwenyewe na akili kumkichwa dada.

watu wazima ovyo my dia eti wkend twende wapi?mi mkewe?
 
muone huruma mtoto wa mwanamke mwenzako,pia kitumbua sio sabuni kuwa itaisha wala kuweka alama
 
Afu mbona sijaona kama kakutongoza?zaidi ya kukuulizia your love affairs na kusema mkae sehemu muongee!! au ndo kule kujishtukia?
ya nini maisha yangu yanamuhusu?
 
Huwa inatokea unapotongoza halafu ukaishia njian, au unapoacha manyoya!
 
Back
Top Bottom