ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
tunaishi nae compound moja ana mke
sina muda nao kabisa kabisa
one day nikatoka kwenda shop akaniomba no maana linaweza kutokea tatizo kama jirani tusaidiane nikampa
from there kila siku ananipigia,ananiuliza kuhusu love affairs zangu,anataka tukae mahali tuongee.
nimechange no kwa ajili ya mpuuzi yule
kiukweli
sipendi kabisa urafiki na mume wa mtu sipendi..... sio huyu tu woote
tulieni na wake zenu tulieni
wkendi njema tulieni na wake zenu. acheni unafiki
aaaahaaa!!!!!!!!!! smile bwana, wewe si bikra lakini? ilinde bwana, RUTA, anakuheshim sana