Mmoja yuko hapio UDSM kanikwepa tangu niko A'level Tabora Boys, napata shavu anatangaza njaa eti kamtema jamaa yake. Nikatoa neno la kishujaa kaingia miguu miwili, nikazabua mchana usiku. Asubuhi talaka na biti, leo ni almost mwaka umepita......
Mnatudhalilisha kwa kweli,kwani ni wanawake tu wanapenda pesa kuna watu wanamapenzi ya dhati
Naomba kuwauliza!hivi tuchukulie kwamba katika kipindi cha nyuma wakati bado labda uko shule au chuon kuna dada ambae uliwahi kumpenda lakini kutokana na hali yako duni akakukataa,ila sasa baada ya shule unajipanga vzr kimaisha na baada ya muda unafanikiwa kuzikamata pesa,yule dada ndio anaanza kujipendekeza kwako.utamchukuliaje?
Ntamchapa afu ntakula kona
yaani wewe na avatar yako hakuna tofauti kabisa.Namuambukiza hili gono sugu nililonalo
Ni kutokana na hali halisi kuwa walio wengi ni wadhaifu kujitegemea na kuwa na maisha yao binafsi hivyo akiona opputunity anachukua advanteji ya kutegeme vya wanaume...wanawake kuweni wajasiri ktk kujitegemea.
Naomba kuwauliza!hivi tuchukulie kwamba katika kipindi cha nyuma wakati bado labda uko shule au chuon kuna dada ambae uliwahi kumpenda lakini kutokana na hali yako duni akakukataa,ila sasa baada ya shule unajipanga vzr kimaisha na baada ya muda unafanikiwa kuzikamata pesa,yule dada ndio anaanza kujipendekeza kwako.utamchukuliaje?
tena ntafanya mapenz yasiyo ya kistaarab