Kwa wanaume waliowahi kuface hii challenge tu!!

Kwa wanaume waliowahi kuface hii challenge tu!!

Mmoja yuko hapio UDSM kanikwepa tangu niko A'level Tabora Boys, napata shavu anatangaza njaa eti kamtema jamaa yake. Nikatoa neno la kishujaa kaingia miguu miwili, nikazabua mchana usiku. Asubuhi talaka na biti, leo ni almost mwaka umepita......

Good boy........
 
...mkuu wa aina hiyo huwa unamkubalia ili uone alichokuwa analingia ni nini? unafunua unaangalia kama movie, unachezea evrywhere kisha unamwambia it z over ili aone nae maumivu ya kumzingua mtu akupendae... baada ya hapo akili yake hukua na kujua ile methali "malipo ni hapa hapa planet ya 3"
 
hapo unagonga copy kupunguza hasira za hassle za enzi zile then unasepa......mnabaki kuwa buddies
 
Mnatudhalilisha kwa kweli,kwani ni wanawake tu wanapenda pesa kuna watu wanamapenzi ya dhati

Ni kutokana na hali halisi kuwa walio wengi ni wadhaifu kujitegemea na kuwa na maisha yao binafsi hivyo akiona opputunity anachukua advanteji ya kutegeme vya wanaume...wanawake kuweni wajasiri ktk kujitegemea.
 
Naomba kuwauliza!hivi tuchukulie kwamba katika kipindi cha nyuma wakati bado labda uko shule au chuon kuna dada ambae uliwahi kumpenda lakini kutokana na hali yako duni akakukataa,ila sasa baada ya shule unajipanga vzr kimaisha na baada ya muda unafanikiwa kuzikamata pesa,yule dada ndio anaanza kujipendekeza kwako.utamchukuliaje?

si unamwambia achukue time tu!
 
Nimejifunza kitu kimoja katika mahusiano........mapenzi hayajaribiwi,unaweza kusema hapa napiga na kuishia ukajikuta umenasa mazima.........ushauri wangu kama akili yako ilishakwambia NO,ibaki No,ukigusa tu waweza jilaumu baadae

Ntamchapa afu ntakula kona
 
Girls are like that mkaka! They need protection so ndo sababu hufanya watafute mtu ambaye either anapesa or hata mkiwa shule na ukawa active katika kupiga mishe za hela utakuta shobo kibao koz wanaona mbele unafuture ko kwa lolote likienda tofauti kwao after school bado utakuwa pale kumlinda. Ko msamehe tu hakuona future kwako kipindi hiyo ndo sababu alizingua ila now anaona protection ipo ss! Ukiwaelewa watoto wa kike hata si tatizo.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jambo zur n kumshukuru mungu kuwa amejionesha mapema akijileta weka pemben kama yy alvyo kuwa hana mda mwanzo
 
Iko poa, inawezekana pesa ni kigezo kimojawapo cha yeye kukupenda.
 
hakuna mapenzi ya kweli hapo, yule anayekupenda ukiwa huna kitu ndio sahihi.
 
Ni kutokana na hali halisi kuwa walio wengi ni wadhaifu kujitegemea na kuwa na maisha yao binafsi hivyo akiona opputunity anachukua advanteji ya kutegeme vya wanaume...wanawake kuweni wajasiri ktk kujitegemea.

Post kama hizi huwa zinanitia simanzi kabisa...mkuu hebu niambie kwa kuwa tu kuna asilimia ndogo ya wanawake w namna hiyo ndio inaonyesha kuwa majority wapo hivo...hebu rudi nyum kidogo halafu uanze kuangalia ni asilimia ngapi ya wanwake mjini waliochwa na wanaume zao na bado wameacjiwa jukumu la kulea watoto?pitia ktk mitaa mijini uone wachakarikaji wanawake wengi wanaoashindwa kutwa barabarani kuhangaika kupata chochote kitu kwa ajili ya watoto na wanowategemea?pia katiza katika mitaa mbalimbali uhesabu wanawake walio ktk ndoa majukumu wanayoyabeba hk waume zao wakiwa watazamaji...haya km haitoshi nenda vijijini uangalie ktk mfumo wa kiafrika ni akina nani ndio wazalishaji ktk mashamba?akuna nani wapo reaponsible na kutunza familia zao?na akina nani kazi yao mostly ni kushinda vilabuni tu....so please respect all these women,kuna wachache ambao ndio hiyo stlye ya chuna buzi,lakini kwa uhakika kabisa ni minor ukilinganisha na waliobaki ambao ni self reliant...
 
tofautisha mapenzi na malaya huyo yuko kibiashara biga mzigo na ondika zako
 
Naomba kuwauliza!hivi tuchukulie kwamba katika kipindi cha nyuma wakati bado labda uko shule au chuon kuna dada ambae uliwahi kumpenda lakini kutokana na hali yako duni akakukataa,ila sasa baada ya shule unajipanga vzr kimaisha na baada ya muda unafanikiwa kuzikamata pesa,yule dada ndio anaanza kujipendekeza kwako.utamchukuliaje?

Simple, Ntamchukulia kuwa anataka kumegwa na kuachwa.
 
Back
Top Bottom