Kwa wanaume wanao safiri!!

Mku sio wote na hii ni generalization mbaya maana wengine kama mimi napata sanamuda wa kuangalia mivies na series ambazo namis muda wa kuziangalia kutokana na kazi
Muda mwingi naumalizia kweney kuangalia movie na nikitoka naenda pata bia mbili tatu narudi kuendelea na movies
 
Ni kweli kabisa Mpwa, hapo kwenye wekundu hapo, nadhani ukibeba ya kwako inakuwa pouwa zaidi, lakini kwanini tusiachane na hio habari? Pombe tena? Duh, ngoja niondoke nimkimbilie mke wangu leo ndio siku ya "zamu" leo, natakiwa nifike mapema, haya nitakie "best wishes".....
 

Best wishes mkuu na ufanye zamu yako vyema
Na msalimie my wife wako sana
 
ushetani tu na tamaa zisizokuwa na mipaka inawezekana na kili ya mtu si wote tuko hivyo
 
unfair generalization... unconfirmed "alergedly" innocence etc
 

Mkuu umevuta hisia zangu kwani the last time to visit kigoma was Dec,2009.Nakumbuka siku hiyo nilikosa G/House nzuri nikalala Mwamgongo iko karibu na Mwanga Guest House. Basi night mauzauza ya kufa mtu. nikawauliza wenyeji wakaniambia mzee mwenye guest ndio shughuli zake.Wanasema wateja mnaweza kuchukuliwa wote night kwenda kuogeshwa lake tanganyika bila kujijua. maeneo ya mwanga night balaa mkuu ulisalimika?
 
Unalofanya wewe sio wote wanafanya " wengine wanaheshimu ndoa zao hata akikaa mwezi na zaidi atavumilia tu"
 
Nipo uingereza sasa hivi na niko busy na mambo yangu huo muda wa kufikiria ngono nitaupata wapi? Nadhani iko applicable kwa wale wasiojua purpose of their trip.
 
Siwezi kulala hotel bila mchuchu

mkuu chondechonde!!!wanasomaga hawa then kesho ata ku quote kama mama ze moja! itakula kwako kama yuko jf,
nilifikia sehemu kama wiki tatu hivi zilizopita, niliwakuta wadada wawili pale nikamwomba mmoja aninunulie chips jirani, alivyoleta tuu kaingia chumbani moja kwa moja, nilivyokuwa nakula kapanda kitandani!!! nilimshangaa kumuuliza vipiiii yeye kadai kwao wameshafunga na hana pa kulala?!, nilimtimua kama mwizi..
 
wanawake wachache wanaingia haraka ktk ngono wenye kazi zao za kuwasfirisha mpaka wachukue muda wa siku kadhaa kufahamiana na dume kabla ya kutoa mlovylovy ila Me ni kanyaga twende haitaji muda
 
<br />
<br />
ULIMWACHA KWELI... Mweee labda sio weye...
 
Kumbe mkiwa safarini hamwez vumilia eee, nimegundua hili leo
 
kati ya mwnamume na mwanamke.. ni nani huwaza mahaba/kuchapana kirahisi zaidi bila hata atention/awareness/kinga.. punde anapokua amelewa , nijibu mtoa mada.
 
Wanaume bana ni zaid ya uwajuavyo wanapozwa sana na kupelekeshwa na hisia...badiliken bana...wapo wastahimilivu ila ni wawili kwa kumi.
 
Swali kwa mwanaume yeyote afanyaye hivyo: kama hukushiba chunguni cha kupakuliwa kwenye sahani utashiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…