Kwa wanaume 'wanaowahi', dawa hii hapa...

Heshima yako mkuu,hapo kwenye red hapo naona hakuna busara kabisa.....Nakuheshimu kiongozi.
If u r she, may be huyajui. Lakini yapo. Utakuta demu ulikuwa ukimdrive craze lakini ghafla mambo yanabadilika na akikohoa kidogo, unaitika rabeka! Ujue kwishne.
 
wanaume wa j.f naona mnajibu hoja ki staarabu kabisa.mmmh,kumbe mnajali kuwaridhisha wapenzi au wake zenu
 
Kwa wenye matatizo hayo ya kukojoa haraka msiende kwa warozi/sangoma. Kuna mazoezi ya Dr. Kegel ambayo yanasaidia sana. (Nakaribia kugonga miaka 60 lakini usipime!)

1. All About Kegel Exercises For Men

2.
 
Last edited by a moderator:
Na nyie mnamind sana kukojoa. kha kila nakoenda mikojo mikojo loooool! Basi muwe mnawazia mambo mengine ili kujichelewesha ili wenzenu wzfike huko kunako kibo kama sio mawenzi
 
Na nyie mnamind sana kukojoa. kha kila nakoenda mikojo mikojo loooool! Basi muwe mnawazia mambo mengine ili kujichelewesha ili wenzenu wzfike huko kunako kibo kama sio mawenzi
Gaga taratibu, taratibu. Kuchelewesha kukojoa/kumwaga sana sana ni kwa faida ya wanawake kwa sababu huwaga wanachukua muda mrefu kufika kileleni. Kwa hiyo tunamaind swala hilo kwa sababu ya kutokutaka kuwa selfish/ubinafis kwenye mchuano. Ndio maana unaona swala hili tumelikomaliaa!
 

.....Yaani usugue weee, hadi mwenzio achubuke halafu iweje?
 

sinafungu - habati soda (black seeds/cummins) nikweli kabisa,
mimi natumia hiyo nachanganya na ufuta nafanya kashata, kila
mara nakula, nimeona results zake.

shaft iko imara na urojo umezidi:A S crown-1:
 
Wewe huko sawa kweli au valuer zimesha kaa mahali pake???Uoni uliko wewe nikutype??!!!Kazi ipo!!
wewe vipi unatuondolea mzuka wa sredi bwana.
Toa hayo maandishi hapo juu.
Mimi nimecheka si kingingine ila jamaa alivyodandia dar express kwambele!!
Ayaaah! Jamaa kachanganya maji kwenye mafuta!
Sibora maji na mafuta!!Katia ndimu kwenye maziwa!!

Wadau mwageni points zaidi zitatusaidia wengine
Fuatilia kwamakini unaweza ukapata kilicho chamsingi!!
 

Yakhe vipi bana unatukata stimu... ha ha ha...!
 
Nimekupata mkuu, mm pia ni mwathirika, ntalifanyia kazi ili kulinda heshma yangu ktk ndoa.
 
Kwani kuwahi kwa muda upi? maana kwa wanawake mwingine baada ya saa moja umewahi! please be specific with time!
 
mmh,kazi kweli kweli.yaan mashughuli yote hayo kisa ni kutaka kuchelewa tu?wenye matatizo nitafuteni niwapeni dawa ya kimasai yaani ukitumia hiyo,huachiki kabisa.kwa ufupi hata viagra haioni ndani na hii ni dawa ya asili.ila poleni ati
Mkuu First Lady umekuwa Mganga wa kimasai? EHHH Kasheshe kweli wape watusimu yakowatakupiga uwape dawa ya kuchelewa kuwahi
 

I appreciate you,,,,,,100% practical useful. I do the same,me and my wife we greatly enjoy the game a lot,... yaani we ache tuu!
Watu waache kabisa kutumia chemicals to prolong ejaculation........watumie this technic, ni nzuri na salama and as you practise longer,you also prolong the time between ejeculations....ni nzuri sana..
 
mmh,kazi kweli kweli.yaan mashughuli yote hayo kisa ni kutaka kuchelewa tu?wenye matatizo nitafuteni niwapeni dawa ya kimasai yaani ukitumia hiyo,huachiki kabisa.kwa ufupi hata viagra haioni ndani na hii ni dawa ya asili.ila poleni ati


hahah toa namba/mawasiliano watu wakusake wakaweke heshima
 
Nilichokiona hapo kwenye huo uzi ni kimoja tu hisia zaidi kwamba ukipanga kufika kileleni mapema inawezekana and versi versa
 
Njia rahisi kuliko zote ni kutumia condom, hii hazinaga stress ila hakikisha una lubricant karibu.Pia tumia condom ambazo hazibani sana (xtra large) ili uweze kuenjoy zaidi kama (wet n' wild).
Ukitumia zenye vidutu uta ishia kumchubua mtoto wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…