kupanda kwa gharama za vyakula,zanzibar.
zanzibar ,hali imendelea kutishia amani ya wananchi wa zanzibar ;hususan wanao ishi katika kisiwa cha Pemba ,kutokana na kupanda kwa gharama za vyakula kama vile mchele(mapembe) kwa sasa wanasema umefikia 1kg kwa thamani ya shilingi 1,200
thamani hii ni kwa watu wanaoishi katika Wilaya ya Mkoani-pemba.gharama imekuwa juu ya vyakula tena visivyo na kiwango ,vyakula vibovu .katika maoni yao wao walikuwa na haya''jama tumechoka kudhalilika kwagharama za vyakula,bei juu ,wanafanya kusudi hawa ni wafanya biashara tu wakulaumiwa''.Wewe ni mzanibar na hata wewe ni sehemu ya tanzania unalipi la kuchangia ?
toa maoni yako.