Kwa wanaume 'wanaowahi', dawa hii hapa...

Kwa wanaume 'wanaowahi', dawa hii hapa...

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,855
Reaction score
402
Wandugu,

Kama kuna jambo linakera katika mahusiano ya kingono ni kwa mwanaume kufika mwisho wa safari mapema sana. Ni jambo linalomkera mwanamke lakini nadhani wanaume ndiyo wanakerwa zaidi. Wengine wamefikia hatua mbaya kiasi kwamba jamaa anashtukia amemaliza safari kabla ya kuanza.

Sasa katika pitapita yangu nimeweza kupata ujuzi unaoweza kusaidia kupunguza hali hii. Bahati nzuri ujuzi wenyewe nime-apply na umeleta matunda mpaka partner wangu alishangaa sana siku ya kwanza nilipotumia. Wenye elimu zaidi naomba nao waongeze technique hapa jamvini ili tusaidiane katika kujenga na kuimarisha confidence ya kuwatosheleza 'watoto'.

Najua zipo dawa (kemikali) zinazopakwa kwenye 'kichwa' cha yule jamaa lakini ni vizuri kutumia mbinu za asilia zisizotumia kemikali ili kuepuka madhara ya muda mrefu.

Mbinu zifuatazo zinaweza kusaidia;

(1) Punguza hisia kali na elekeza akili yako katika kumuandaa mwenzio.

(2) Ondoa mawazo/hisia inayokuelekeza kutaka kumwagia kitu kwenye lile eneo nyeti. Hisia hii, unaweza ukaizuia na ukairejesha wakati muafaka.

(3) Epuka kupumua au kuhema kama dume la bata yaani unapoendelea na mchezo usipumue systematically au consistently. Mara kwa mara jitahidi kukata pumzi kuzuia hewa isiingie. Hii itakupatia stamina ya kusonga mbele zaidi na zaidi.

(4) Anza na 'position' ambayo haikuhamasishi sana halafu malizia na ile ambayo sekunde moja tu safari inaisha.

(5) Kwa wanaotumia 'kifo cha mende' usijilaze juu ya mwenzio kama gunia yaani weight yako yote ina-fall kwa mwenzio. Ukibweteka hivyo huchukui raundi ulimi nje sekunde chache tu. Unatakiwa kum-hold mwenzio kama wanavyofanya wasanii wa sarakasi.

Kadri unavyotumia mbinu hizi, ndivyo unavyoongeza muda wa kufika mwisho wa safari.
 
Somo lako ni zuri lakini kwangu mimi mbegu ni nyingi kupita kiasi hata nikiwahi ninakuwa nimebakiwa na vingi tu. But I appreciate your thread is useful.
 
Pia ukitumia supu ya mchicha na tangawizi mbichi inasaidia sana kuchelewa kufika kileleni,chemsha maji mpk yachemke weka mchicha ulioukatakata weka na vipande kama 4 vya tangawizi mbichi ukiona umeivisha pakua kula supu na mchicha wote'hakikika ladha ya tangawizi unaipata ktk supu,hii nimejaribu inasaidia sana.
 
Pamoja na yote ,vilevile chemsha yai lisiive vya kutosha then changanya na unga wa Tangawizi kunywa asubuhi kabla ya kula chochote na jioni wakati wa kulala,kitu kingine tafuta samaki aina ya Chaza(oysters) lengo ni kuongeza Zinc mwilini ambayo ni kiungo muhimu kwa testosterone hormone muhimu kwa ajili ya kuimalisha uwezo na nguvu za kiume,nawasilisha
 
practical wapi??????? maana naona hiyo ni theory tu:coffee::coffee:
au ndio yale yale (vyuo vya kibongo) theory only bila ya ku practice
 
It is good. But nimeinyaka sehemu kuwa tatizo la nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa lina uhusiano na nyota yako. Kama ni kali kuliko ya mwenzio, basi u ll never xperience da problem n vise versa. Kwa cku hizi kwa kuwa ma-she wengi wanaamini ktk ndumba ili kuwakamata wenzi wao kitendo kinachomaanisha kushusha nyota plus kuzama chumvini ambayo ni ulaji wa uchafu wa mwanamke, obviously, da problem shall be persistent. Ndivyo wasemavyo.
 
The Following User Says Thank You to Gosbertgoodluck For This Useful Post:

Speaker (Today)​
 
mmh,kazi kweli kweli.yaan mashughuli yote hayo kisa ni kutaka kuchelewa tu?wenye matatizo nitafuteni niwapeni dawa ya kimasai yaani ukitumia hiyo,huachiki kabisa.kwa ufupi hata viagra haioni ndani na hii ni dawa ya asili.ila poleni ati
 
Tafadhari nipeni dawa ya kuchelewa maana mwenzenu nateseka mpaka wife saa nyingine anakimbia anahamia washroom.
 
It is good. But nimeinyaka sehemu kuwa tatizo la nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa lina uhusiano na nyota yako. Kama ni kali kuliko ya mwenzio, basi u ll never xperience da problem n vise versa. Kwa cku hizi kwa kuwa ma-she wengi wanaamini ktk ndumba ili kuwakamata wenzi wao kitendo kinachomaanisha kushusha nyota plus kuzama chumvini ambayo ni ulaji wa uchafu wa mwanamke, obviously, da problem shall be persistent. Ndivyo wasemavyo.

Heshima yako mkuu,hapo kwenye red hapo naona hakuna busara kabisa.....Nakuheshimu kiongozi.
 
practical wapi??????? maana naona hiyo ni theory tu:coffee::coffee:
au ndio yale yale (vyuo vya kibongo) theory only bila ya ku practice
Tafuta specimen tukufundishe hiyo practical!
 
It is good. But nimeinyaka sehemu kuwa tatizo la nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa lina uhusiano na nyota yako. Kama ni kali kuliko ya mwenzio, basi u ll never xperience da problem n vise versa. Kwa cku hizi kwa kuwa ma-she wengi wanaamini ktk ndumba ili kuwakamata wenzi wao kitendo kinachomaanisha kushusha nyota plus kuzama chumvini ambayo ni ulaji wa uchafu wa mwanamke, obviously, da problem shall be persistent. Ndivyo wasemavyo.

Huyu Sheikh Yahaya katokea wapi tena.nenda kwa JK anahitaji mambo ya nyota.Hapa tunataka tiba mbadala
 
Uzushi mtupu

sometimes watu wana matatizo ya hormone...

Bora kufanya testosterone test,ujijue....
 
Back
Top Bottom