ndyoko
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,971
- 1,652
Kama umeshindwa kumpa kisawasawa ndo athari za moja kwa moja hizo!!
Cha kufanya ni kujipanga ili umpe kisawasawa asihangaike huko nje!
baba ubayaaaa, we sahuri yako!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umeshindwa kumpa kisawasawa ndo athari za moja kwa moja hizo!!
Cha kufanya ni kujipanga ili umpe kisawasawa asihangaike huko nje!
toa ushauri bwanababa ubayaaaa, we sahuri yako!!
Hii ni adhabu kali sana ni bora ampe talaka kuliko kumfanyia hili
toa ushauri bwana
ndoa hzi daaah?
Never for give the cheater always
Samahani kidogo; when I try to join the red dots with the green dots, nashindwa kuelewa...! Unless this is not yet happened...! Am I right?Huna hili wala lile unasikia ujumbe umeingia kwenye simu yako ya mkononi, unaifungua na kukutana na sms yenye jina na namba ya mkeo huku ujumbe wenyewe ukisomeka hivi: "kweli nimeamini kwamba wewe ni mkali, nimekupenda sana kwa vituko vyako kitandani na ninaapa sitokuacha na nnakuomba nawe usiniache, asante sana".
Unajaribu kufikiri kwa nn wife akutumie sms hiyo leo wakati mna miaka zaidi ya mitano ktk ndoa hupati jibu. Unauchuna lkn unaporudi nyumbani na kuchukua cmu yake na kuiangalia unakutana na sms ileile lakini imetumwa pia kwa mtu mwingine na unapokwenda kwenye inbox unakutana na majibu ya sms ile ya kwamba "usijali kwani hata mm nimekupenda sana kwa namna unavyojishughulisha kitandani.
Je, kama ndo yamekukuta wewe ndugu yangu utafanya nini? Amini usiamini tukio hili ni la kweli na limemtokea mdogo wangu ambaye tumeolea familia moja na hadi sasa ni cku nne zimepita amesafiri na cmu ya mkewe pasipo kumweleza chochote hadi arudi wk ijayo. Afanyeje? Nishauri nikamshauri!
nilipo bold hapo...
ndio maana anashindwa kuchukua maamuzi!!
AFANYE YAFUATAYO:Utanipatia taarifa baada ya miezi mitatu kama mwanamke hajakonda kinoma ama kukimbia nyumba.
- Asimfukuze mke
- Ila ajue tu kuwa hapo hana mke tena
- Amwoneshe mke hizo sms zote, aliyotumiwa na zile alizokuta kwenye simu ya mke wake
- Asitukane wala kukasirika wala kuonesha reaction ya namna yeyote
- Kwa kuwa mkewe amecheat na hatoweza kumwamini tena, aangalia kama ataweza kuendelea naye katika tendo la ndoa au la, hapo ataamua mwenyewe
- Asipunguze huduma kwa familia.
- Atafute mwanamke mwingine wa kumpoza aka nyumba ndogo
- Asimwoneshe mwenzake kama ana nyumba ndogo
- Ikiwezekana nguo afue kwa dobi au afue mwenyewe au hata akimwacha afue sio mbaya
- Asihusike tena na masula ya mke wake zaidi ya kutoa kodi ya meza na huduma za watoto
- Asikubali vikao vya kusuluhisha wala nafasi ya kuliongelea jambo hilo na mkewe
- Halafu maisha yaendelee [Maana yake ni ADHABU YA KISAIKOLOJIA)
- Kimsingi hapo mke umempa talaka, ila yeye anashindwa kujua uamuzi wako
NB: Baada ya kama mwezi hivi nipe feedback
- Mke akikimbia asimfuate wala kubembeleza
- Lengo ni kumpa nafasi mwanamke afanye kila anachotaka
toa ushauri bwana
ndoa hzi daaah?
Hapa sijui atafanyaje, najua wanaume ni wagumu sana kusamehe jambo kama hili
kabla sijamwonyesha mlango wa kutokea, itabidi aniambie hicho kitanda anachosema ni kipi? Ni hiki cha kwetu su cha jamaa!.... ukisomeka hivi: "kweli nimeamini kwamba wewe ni mkali, nimekupenda sana kwa vituko vyako kitandani na ninaapa sitokuacha na nnakuomba nawe usiniache......
.......unakutana na majibu ya sms ile ya kwamba "usijali kwani hata mm nimekupenda sana kwa namna unavyojishughulisha kitandani......
kabla sijamwonyesha mlango wa kutokea, itabidi aniambie hicho kitanda anachosema ni kipi? Ni hiki cha kwetu au cha jamaa?....lol..... ukisomeka hivi: "kweli nimeamini kwamba wewe ni mkali, nimekupenda sana kwa vituko vyako kitandani na ninaapa sitokuacha na nnakuomba nawe usiniache......
.......unakutana na majibu ya sms ile ya kwamba "usijali kwani hata mm nimekupenda sana kwa namna unavyojishughulisha kitandani......
AFANYE YAFUATAYO:Utanipatia taarifa baada ya miezi mitatu kama mwanamke hajakonda kinoma ama kukimbia nyumba.
- Asimfukuze mke
- Ila ajue tu kuwa hapo hana mke tena
- Amwoneshe mke hizo sms zote, aliyotumiwa na zile alizokuta kwenye simu ya mke wake
- Asitukane wala kukasirika wala kuonesha reaction ya namna yeyote
- Kwa kuwa mkewe amecheat na hatoweza kumwamini tena, aangalia kama ataweza kuendelea naye katika tendo la ndoa au la, hapo ataamua mwenyewe
- Asipunguze huduma kwa familia.
- Atafute mwanamke mwingine wa kumpoza aka nyumba ndogo
- Asimwoneshe mwenzake kama ana nyumba ndogo
- Ikiwezekana nguo afue kwa dobi au afue mwenyewe au hata akimwacha afue sio mbaya
- Asihusike tena na masula ya mke wake zaidi ya kutoa kodi ya meza na huduma za watoto
- Asikubali vikao vya kusuluhisha wala nafasi ya kuliongelea jambo hilo na mkewe
- Halafu maisha yaendelee [Maana yake ni ADHABU YA KISAIKOLOJIA)
- Kimsingi hapo mke umempa talaka, ila yeye anashindwa kujua uamuzi wako
NB: Baada ya kama mwezi hivi nipe feedback
- Mke akikimbia asimfuate wala kubembeleza
- Lengo ni kumpa nafasi mwanamke afanye kila anachotaka
afanye yafuatayo:utanipatia taarifa baada ya miezi mitatu kama mwanamke hajakonda kinoma ama kukimbia nyumba.
- asimfukuze mke
- ila ajue tu kuwa hapo hana mke tena
- amwoneshe mke hizo sms zote, aliyotumiwa na zile alizokuta kwenye simu ya mke wake
- asitukane wala kukasirika wala kuonesha reaction ya namna yeyote
- kwa kuwa mkewe amecheat na hatoweza kumwamini tena, aangalia kama ataweza kuendelea naye katika tendo la ndoa au la, hapo ataamua mwenyewe
- asipunguze huduma kwa familia.
- atafute mwanamke mwingine wa kumpoza aka nyumba ndogo
- asimwoneshe mwenzake kama ana nyumba ndogo
- ikiwezekana nguo afue kwa dobi au afue mwenyewe au hata akimwacha afue sio mbaya
- asihusike tena na masula ya mke wake zaidi ya kutoa kodi ya meza na huduma za watoto
- asikubali vikao vya kusuluhisha wala nafasi ya kuliongelea jambo hilo na mkewe
- halafu maisha yaendelee [maana yake ni adhabu ya kisaikolojia)
- kimsingi hapo mke umempa talaka, ila yeye anashindwa kujua uamuzi wako
nb: Baada ya kama mwezi hivi nipe feedback
- mke akikimbia asimfuate wala kubembeleza
- lengo ni kumpa nafasi mwanamke afanye kila anachotaka
Mwambie tatizo liko hapo, ajaribu kugusa na angle nyingine....lolJamaa ameniambia kwamba huwa anampiga nje ndani hadi mwanamke mwenyewe anasema basi na ndo kinachomshangaza zaidi, au ampige ndogo kabisa? Ana wasiwasi jamaa huenda kapitiliza huko!