Kwa wanaume wenye ndoa tu

Hii ni adhabu kali sana ni bora ampe talaka kuliko kumfanyia hili

kwa nini unasema adhabu kali, maisha ndivyo yalivyo. Nakubaliana na Avarm yeye aendelee na misele yake huyo wife atatia akili mwenyewe. Mie huwa nashangaa mtu anamtoa mwanaume mwenzake roho, ukiangalia kamfumania na mkewe. we uchune tu wala usiseme kitu, lazima siku ukirudi home utakuta mabegi na vitu vingine ameshavichukua mapemaaaaaaaaaaa!

Ila hiyo ingekuwa kaifanya mwanaume, mama yangu nadhani ndani ya robo saa family members wa both families wangekuwa wamejua mpaka sasa. Ladies bwana, sijui wakoje!!!!!!
 
Never for give the cheater always

especialy when one is loyal.hamna kitu inauma km ukute unamegewea na wewe umeamua kujituliza na wife tu...km huyo jamaa nae ana njia za pembeni,aziache.na amweleze mkewe kwa utaratibu kuhusu aache huo ufuska,na waaishi tu kwa amani.
 
Hapa sijui atafanyaje, najua wanaume ni wagumu sana kusamehe jambo kama hili
 
Samahani kidogo; when I try to join the red dots with the green dots, nashindwa kuelewa...! Unless this is not yet happened...! Am I right?
 
nilipo bold hapo...
ndio maana anashindwa kuchukua maamuzi!!

Kama si msafi kihivyo basi ndo amelichanganya mwenyewe, mwenzie aliuona uchafu wake akauchuna, yeye kaona wa mwenzie anachukua simu ya watu na kusafiri! Hana akili kabisa. Na huenda huyo wife anamzingua tu, nyambaf aache huo ufundi wa kwenye miili ya watu abaki na mkewe.
 

feedback itakua mke kajiua! Hii ni adhabu kubwa sana mkuu.
Bora msamehe, akirudia tena mwache.
Lakini pia inawezekana ni matani ya ofisini, mengine hua yanapitiliza.
 
hapa ndo ukiona watu wako single unasikia wivu...
 
Reactions: SG8
bebii umerudi? hasira zimeisha sio? kubembelezwa kote hata hujasema ahsante kulikoni
kwa mtoa mada sina la kuongeza zaidi ya kumwambia ajitazame yeye kama yeye ni mkamilifu,akae chini kwenye mchanga aandike madhambi yake , aangalie wanae wataishije au kuathirika vipi kwa maamuzi atakayotoa, pia napata mashaka kama mke wake hajamfanyia mchezo kwani mkewe sio mjinga awe amefanay jambo kama hilo afu asiwe makini na simu yake kwa kuacha msg hadi mumewe azikute, nadhani mkewe anajua tabia za mumewe anamzingua tu kama ingekuwa kweli angeshamwomba msamaha au kuondoka mwenyewe,utashangaa simu alotumia ni line yake ya pili au ya shogaake.
toa ushauri bwana
ndoa hzi daaah?
 
ampige mawe mpaka afe! upumbavu huo! dawa ya moto ni moto! jama akizubaa atakuwa zoba!
 
kabla sijamwonyesha mlango wa kutokea, itabidi aniambie hicho kitanda anachosema ni kipi? Ni hiki cha kwetu su cha jamaa!
 
kabla sijamwonyesha mlango wa kutokea, itabidi aniambie hicho kitanda anachosema ni kipi? Ni hiki cha kwetu au cha jamaa?....lol.
 
Ushauri mzuri,ila mgumu sana,asimfukuze ,amchunie tu,piga penzi kama kawa,fahamu tu kuwa ameteleza basi,cha msingi wakubaliane kupima afya zao mara kwa mara.kwani inaonyesha dhahiri jamaa ni mtu wa kusafiri na pia safari zake zinamfanya asimpe emotional support,most of the time women need emotional touch kuliko actual pumping kama alivyoeleza.
 

nakubaliana na wewe mkuu
 
Jamaa ameniambia kwamba huwa anampiga nje ndani hadi mwanamke mwenyewe anasema basi na ndo kinachomshangaza zaidi, au ampige ndogo kabisa? Ana wasiwasi jamaa huenda kapitiliza huko!
Mwambie tatizo liko hapo, ajaribu kugusa na angle nyingine....lol

eh kumbe wanatakiwa wajibu wanaume tu! s.o.r.r.y
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…