Kwa wanaume wenye ndoa tu

"Mwambie tatizo liko hapo, ajaribu kugusa na angle nyingine....lol"

MJ1 ebu rudi utusaidie tafadhali hapo kwenye bold unamaanisha zipi? jicho pia linahusika eeh!

Aisee! mimi ningelivua penzi tu hapo coz hata nikijifanya kusamehe sitoweza kusahau kabisa.
 


Nilishapiga marufuku hizi message za kuforward maana zinaweza kuleta kizazaa. Du! nimechemka, nitarudi baadae.
 
Hana cha kufanya, zaidi anajiumiza. Akae kimya, za mwizi ni 40, ataingia kwenye 18 ndipo atajua maharage si mbona ni dawa ya usingizi!
 
Sms ni ushahidi tosha nilazima uchukuwe hatua na maamuzi mapema si umi wala kumumunya maneno mimi binafsi ningemwambia amfuate huko huko huyo anayemfikisha tusije uana bure.
 

hayajakutokea huwezi kujua kama utaweza
 
Mzee mwenzangu umenena vema, lakini hebu isome kwa sauti hii sentensi hapa chini kwenye red.

 
Tafakari, chukuwa hatua!!!! Haki ya NDOA.....
 
Achunguze ukweli kwanza. maana kuna wa2pia wamekaa mahususi kwa kuaribu ndoa za watu. kwanza anapaswa kuwa na uhakika na analodhan kabla hajamuacha wife huku anampenda. akiwa na uhakika amwage
 
Anachotakiwa kufanya ni kumweleza mkewe kuwa samahani ile sms ulionitumia naona ulituma kimakosa halafu achune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…