Kwa wanaume wenzangu mnaotumia muda mwingi kuongea na akina dada/mama

Kwa wanaume wenzangu mnaotumia muda mwingi kuongea na akina dada/mama

Nikivuta picha we ni mwanaume ulioko kazini na hapo kazin kuna watu kibao
Kuna mwanamke unaempenda sana ila kuna lijamaa linaonekana liko nae mda mwingi linambania
Kila siku mtu huongea na kuchukia kitu ambacho hukiwez
Mi nimemuelewa hapo kwenye kuazima gari afu kila akionekana mahali anaripotiwa hahaha hivyo ndo imemkera
 
Mi naona umemind kwakua kambi ndogo zinaumbuliwa.
 
Haya mambo tuyaepuke sana wanaume, kukaa na wanawake ni hatari sana
 
Back
Top Bottom