Kwa wanaume wote

Ngoti pilla

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2018
Posts
272
Reaction score
160
kama wewe ni wanaume wa kweli na haujawai kumkwepa konda ili usilipe nauli basi wewe ni wife material kabisa
 
Uanaume wa kijinga huo dog!! Kukwepa kulipa stahiki ya mtu kwako ndio uanaume? Ovyo kweli. Nyie ndio wakwepa kodi pia kumbe
kama wewe ni wanaume wa kweli na haujawai kumkwepa konda ili usilipe nauli basi wewe ni wife material kabisa
 
nimecheka sana
mwanaume lazima umkwepe konda kutoa nauli hizi mwendokasi zinatuzingua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…