Kwa wanaume

Kwa wanaume

Kwa baadhi yetu nyie mlio wachafu!
Unajisikiaje kulala bila ya kuoga? na tena kulala na kumkumbatia mpenzi/mke wako huku unanuka jasho
jamani mnatupa karaha,jaribuni kuwa wasafi mkishaanza kuishi na mke/mpenzi wako.
Ukioga sio kwamba ndio unakuwa sharobaro, jirekebisheni.
Subiri niwakumbushe
1-kuoga ni mara 2 kwa siku, asubuhi na jioni

2-mswaki mara mbili kwa siku,asubuhi na jioni

3-soksi zinavaliwa si zaidi ya siku mbili

4-chupi inabadilishwa mara mbili kwa siku(ila kwa nyie acha iwe mara moja)

5-shati ni mara moja

6-vest mara moja

7-makwapa (ku shave)angalau yakumbuke mara moja kwa mwezi
maana utakuta mtu manywele ya kwapa yamekuwa ya njanoo(blonde) inakuaje?

8-huko kwa mzee pia msisahau kupunguza hivyo vinyweleo

Kufanya usafi wa nyumba tutawasaidia

Ukiwa single utajijua mwenyewe ila ukiwa na mwenzako jaribu kumfikiria kwa afya yake na yako pia maana making love is a dirty game kwahiyo ukichanganya na uchafu wako basi inakuwa kinyaa baada ya ku enjoy unafikiria huyu mtu atashuka saa ngapi.
hii mada inamhusu mtu personally. Vp wanawake wenye msitu mbona huwashauri. Inawahusu watu wote bila kujali jinsia
 
sasa inabidi sometimes umkumbushe mr wako...hujui kama mmeo akiwa mchafu mbele ya jamii ni aibu yako m/mke?

this woman bana! vere creative, hapa c anamkumbusha mmewe bali anamwambia. inawezekana akimwambia live atakula mkong'oto
huu ndo uzuri wa jf
 
AshaD mpenzi ukinambie eti mke na mume mnaalana nguo za ndani nahisi kuchanganyikiwa, boxer kuvaliwa wiki nzima du! ni hatari kwa afya lazima RIWA ashauri wagonjwa wa fungus.
 
AshaD mpenzi ukinambie eti mke na mume mnaalana nguo za ndani nahisi kuchanganyikiwa, boxer kuvaliwa wiki nzima du! ni hatari kwa afya lazima RIWA ashauri wagonjwa wa fungus.


Caroline Danzi nilifurahishwa na statement yako sababu ni kweli, sioni sababu ya kulala na nguo hali wakati wowote mwaweza toa... Unaweza wakati pale unapoingia kitandani ukavaa ya kuonekana uko sexy but once in bed haina kazi unaitumia huko... hata kama ni sehemu ya baridi basi covers zitakua za kutosha but kulala na nguo/boxer haipo kabisa....
 
Back
Top Bottom