kwa wanawake 2

kwa wanawake 2

wit zarau hizo usione kila mwenye 22 ukadhani mwanafunzi. Kama bahati ni yako yako tu. Na kama ipo ipo 2
 
afro achana na dogo kwanza asome shule njoo kwangu tafadhali

Mmmmhhh Wit
mi bibi my dear umri
wangu wa kutafuta umepita..
sasa ni ku relax tu na ku furahia uzee hahahahahah lol

lakini kama wataka kunipeleka
jamaica kwa holiday labda mmmhh
 
k. Vigezo hv hapa
awe kwanzi miaka 18-35
mrefu, c o mnene sana, mcha mungu, mwenye mapenzi ya kweli, haja wahi kuolewa, asi na mtoto, elimu si chini ya kidato cha nne, asiwe tegemezi awe m2 wa kujishughulisha and lastly ajue mambo ndani ya sita kwa sita
 
kuna watu wabinafsi kweli yani hawapendi kuona m2 anafanikiwa
 
k. Vigezo hv hapa
awe kwanzi miaka 18-35
mrefu, c o mnene sana, mcha mungu, mwenye mapenzi ya kweli, haja wahi kuolewa, asi na mtoto, elimu si chini ya kidato cha nne, asiwe tegemezi awe m2 wa kujishughulisha and lastly ajue mambo ndani ya sita kwa sita

Safi sana
hopeful atajitokeza
all the best..
 
Mwanamke hata kikongwe? au divorced?
 
kila acho pwasa kufanyiwa mwanamke pia usisahau age z just a numbes so unaweza ukawa una 60 lakini unaitwa baby gal or baby boy ndo mapenzi yalivyo
 
Back
Top Bottom