kwa wanawake ambao hawajaolewa na 'waliotendwa' tu!!

Wanatakiwa waendelee kuwa hai, ili waone mambo yanavyoninyookea zaidi bila wao (ombea adui yako aishi siku nyingi ili ..............) Huwa nafurahi navyomuona nanilihu anavyoumia roho kwani hakutegemea ningekua hivi baada ya kunitenda enzi hizo sa angekufa angeumiaje roho? Nawaombea maisha marefu zaidi
 
usishangae mkuu, wapo ambao wanaotamani jamaa waliowatenda nao wageuke jinsia yao ili waone ubaya wa hiyo kitu kutendwa! tena unaambiwa live........acha tu ndo maana nadhani wapo ambao wanaombea uvute kamba sema tu ni soo kutamka kavukavu...

Bora hata wageuke jinsia kuliko wafe kabisa.........but dah........bado utawahurumia tu bora kuwaacha jamani!!! Penzi la masharti na visasi, why opting for it?? Halitapendeza na litamtesa tu mhusika, ni sawa wale wanaoenda kwa waganga kuforce mapenzi ili wapendwe, wengine ndo kama hao wanadiliki kumuua flani kisa tu anaonekana kauzibe kwenye mapenzi yao ama anamuua mwenzake ili yeye atake chance, ebu niambie wanavoishiaga pabaya!! Ni bora kuyaacha mambo yapite kwakweli, sio lazima kumaliza maisha yako na kidume tena ulichokipata kwa kutoa kafara. Ni maoni yangu tu!
 
Wanatakiwa waendelee kuwa hai, ili waone mambo yanavyoninyookea zaidi bila wao (ombea adui yako aishi siku nyingi ili ..............) Huwa nafurahi navyomuona nanilihu anavyoumia roho kwani hakutegemea ningekua hivi baada ya kunitenda enzi hizo sa angekufa angeumiaje roho? Nawaombea maisha marefu zaidi

mbaya zaidi ye awe ameramba galasa, lol......... patamu hapo!!
 
Najua naweza onekana wa ajabu ila Nakiri namshukuru sana yule aliyenitenda na km wakati naugulia yle maumivu ningelijua hili ningemshukuru mugu siku ile badala ya kukesha na kulia,
Kupitia kutendwa nimeijua thamani ya mapnz na kukomaa kiakili na kifra ktk swala zima la mahusiano,
Kupitia kutendwa nimetambua kuwa furaha ya maisha yangu iko mikonon mwangu na si kwa mtu mwingine yoyote yule,
Kupitia kutendwa nimejifunza namna ya kupokea matukio bila kujali ni mabaya au mazuri,
Na kupitia kutendwa nimeamin kamwe kisicho riziki hakiliki,na kila mtu ameumbiwa mtu wake ni swala la wakati tu,
So nisingependa aliyenitenda afe kwan amekuwa chanzo cha mm kuwa nilivyo sasa,namwombea mungu ampe maisha marefu.
 
Kula gwaraaaa mwanangu mwenyewe........... so strong!!!
 
mbaya zaidi ye awe ameramba galasa, lol......... patamu hapo!!

hahahahah ulijuaje? Na Mungu anavyojua kuwaelelezaga wanalamba magalasa kweli kweli. Mi wangu kuna siku alinitamkia kabisa mi nilipenda upate tabu ili unikumbuke nikamuuliza kwa nini akasema basi tu, ilibidi nicheke tu kwa kweli sa mtu kama huyu nimuombee afe? hapana aendelee kuishi ili azidi kuumia kama ni kufa ajiombee mwenyewe
 
Najua naweza onekana wa ajabu ila Nakiri namshukuru sana yule aliyenitenda na km wakati naugulia yle maumivu ningelijua hili ningemshukuru mugu siku ile badala ya kukesha na kulia,
Kupitia kutendwa nimeijua thamani ya mapnz na kukomaa kiakili na kifra ktk swala zima la mahusiano,
Kupitia kutendwa nimetambua kuwa furaha ya maisha yangu iko mikonon mwangu na si kwa mtu mwingine yoyote yule,
Kupitia kutendwa nimejifunza namna ya kupokea matukio bila kujali ni mabaya au mazuri,
Na kupitia kutendwa nimeamin kamwe kisicho riziki hakiliki,na kila mtu ameumbiwa mtu wake ni swala la wakati tu,
So nisingependa aliyenitenda afe kwan amekuwa chanzo cha mm kuwa nilivyo sasa,namwombea mungu ampe maisha marefu.

Well said mamito, Mods rudisheni kile kidubwashika cha senksi basi maana (like) pekee haitoshi
 
Asante sana mamito,
Hawa watu wanatakiwa wasife ili waone namna mungu alivyo haingiliwi mipango yake kwa mja wake,
Mods watapokea ombi lako,na siku moja waweza kutuwekea hiko kidubwashika.
 
ishu si ni idadi tu.. mie '0'. duh samahani nimekumbuka kumbe huu uzi ni kwa wale waliotendwa tu. ngoja niwapishe.
 
Well said mamito, Mods rudisheni kile kidubwashika cha senksi basi maana (like) pekee haitoshi

red and bold: umenikumbusha mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaali sana madam na nimecheka sana. Unatoka kilombero nini maana ndo vijineno vya kwetu hivyo..........acha tu aisee nimecheka sana.

Na ktk hili inaonekana una maslahi makubwa sana!
 
Asante sana mamito,
Hawa watu wanatakiwa wasife ili waone namna mungu alivyo haingiliwi mipango yake kwa mja wake,
Mods watapokea ombi lako,na siku moja waweza kutuwekea hiko kidubwashika.

hahahahah ulijuaje? Na Mungu anavyojua kuwaelelezaga wanalamba magalasa kweli kweli. Mi wangu kuna siku alinitamkia kabisa mi nilipenda upate tabu ili unikumbuke nikamuuliza kwa nini akasema basi tu, ilibidi nicheke tu kwa kweli sa mtu kama huyu nimuombee afe? hapana aendelee kuishi ili azidi kuumia kama ni kufa ajiombee mwenyewe[/QUOTE

Kuna wakti duniani watu mnaweza kuwa mapacha sio wa kuzaliwa bali ktk masahibu ya duniani!
 
Asante sana mamito,
Hawa watu wanatakiwa wasife ili waone namna mungu alivyo haingiliwi mipango yake kwa mja wake,
Mods watapokea ombi lako,na siku moja waweza kutuwekea hiko kidubwashika.

Well said mamito, Mods rudisheni kile kidubwashika cha senksi basi maana (like) pekee haitoshi

Mapacha sio lazima kuzaliwa pamoja bali hata ktk mfumo na masahibu ya maisha yatosha kuwa hivyo!
 
red and bold: umenikumbusha mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaali sana madam na nimecheka sana. Unatoka kilombero nini maana ndo vijineno vya kwetu hivyo..........acha tu aisee nimecheka sana.

Na ktk hili inaonekana una maslahi makubwa sana!

Nimekaa sana kilombero my dia karibu moro hapa hamna mafoleni wala kubanana
 
Back
Top Bottom