Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Lakini bado nina masuali kidogo kwenu dada zangu sijui wadogo zangu any way mtakuwa dada zangu maana mimi bado young.
Hivi inakuwaje kuna wengine wakati wa sex unakuta ukizama uvinzani unakuta ni kukavu na hakuna harufu yyte ila kuna wengine ukizama huko unakuta kama panatoa harufu hivi? binti kiziwi Unforgetable Hawachi
Picha uliyoiweka kumkuta nayo mwanaume ni ngumu sana
Picha uliyoiweka kumkuta nayo mwanaume ni ngumu sana
Haipatikani ki rahisi kwetu wanaume,hata wadada hawana
Dah wewe dada ni mzoefu inaonyesha.
Mkuu mtoa mada mbona kama kidume vileNilitegemea utaeleza jinsi unavyojisafisha wewe mwenyewe huko chini kwako
Kumbe makoye duhu msala umewaachia wenzako
Daaaah!!Mkuu umepiga puli dah,hv shemeji hayupo karibu nn??
Mdogo wangu subiri ukue kidogo mada za wakubwa hizi
Niongezee hapo kidogo...Kila kinachoingia huko kitatoka chenyewe wala usipate shaka ni suala la muda tu tena haizidi masaa 72 kila kilichoingia na hakina kazi kinatoka kama discharge. kuna namna wanawake hawapewi elimu sahihi ni kwa namna gani “nyuke” zao zinatakiwa kuwa. Kwa kifupi labda niseme uke hautakiwi kuwa mkavu kwa ndani (vag truck). Sasa ile hali ya kuwa sio mkavu kwa ndani huwashtua wanawake na kujiona pengine sio wasafi, ukavu unatakiwa kuwa nje tu na sio ndani.
Kabla ya hii process yote kufanyika automatically kuna vya kuzingatia, soma comment niliyoreply comment ya Unforgetable
mfano muruaaaa kabisa hiiNiongezee hapo kidogo...
Wachukulie mfano wa sikio tangu unazaliwa unapata akili halijawahi kuziba kwa uchafu na linaingia uchafu kila siku lkn linajisafisha lenyewe, lakini utaambiwa na wasiojielewa tumia pamba stiki kusafisha sikio....
Sure, ukipractice hii na ikawa ni life style utashangaa ni kivipi wanawake hutukanwa kwa ku smell rat kwa pussy, aisee pussy ina harufu yake moja hivi safi sana, halafu sio rahisi kuielezea, ni ka harufu fulani kamepoaaaaa, sometimes naifananisha na harufu ya maji yaliyochemshwa, au harufu ya mvuke wa maji yanayochemka, Imagine! Je kuna anayeweza kuielewa hii? Sio rahisi.
Daah umemuwekea picha kabisa