Kwa wanawake tu: Je ni njia gani nzuri kusafisha sehemu ya siri?

Kwa wanawake tu: Je ni njia gani nzuri kusafisha sehemu ya siri?

Nimeelewa madam
Tatizo ni mipaka ya ufanyaji mapenzi na Uhuru wa mwanaume kwenye mapenzi afanye nini na asifanye nini
Lakini pia kuchokonoa kupo tu na ndo kujamiiana kwenyewe
Unachokifanya uume ni kuingizwa na kutoka yaani mchonooo.. Na hapo ndo shaka inapokuja
Khaaa 😂😂😂
 
So yako mawili kwenye uchi wa mwanamke mkuu?
Akikujibu umuulize pia hilo tundu la kukojolea lipo upande gani wa Papuchi humo ndichi?na lina ukubwa kulinganisha na lile tamu la ku'Thrust dushe?
 
Kwa lugha rahisi n kwamba dushelele tu ndo linaruhusiwa kuingia humo ili lifanye yake
Siamini kama ni hivyo basi risk ni kubwa mno kwa sababu una uhakika gani na usafi wa uume unaoingia huko kama vidole vyako tu hutaki viingie kujisafisha?
Je mwaume mbona yeye anaingiza vidole vyake huko chini anakutia nyege na kadharika je vidole vya mwenzi wako unaviamini nini?
Elimu zaidi ya usafi inahitajika hizi mnazolishana ni pumba
Ha ha ngoja kwanza niendelee kusoma comment
 
Kwa lugha rahisi n kwamba dushelele tu ndo linaruhusiwa kuingia humo ili lifanye yake
Siamini kama ni hivyo basi risk ni kubwa mno kwa sababu una uhakika gani na usafi wa uume unaoingia huko kama vidole vyako tu hutaki viingie kujisafisha?
Je mwaume mbona yeye anaingiza vidole vyake huko chini anakutia nyege na kadharika je vidole vya mwenzi wako unaviamini nini?
Elimu zaidi ya usafi inahitajika hizi mnazolishana ni pumba

Vizuri, sikumbuki kusema vidole vya mwenza wangu vipite huko, mie nimesema usiingize kidole chako au cha yeyote huko.

Tafadhali tusaidie hiyo elimu ya usafi unayoifahamu ili tuache kulishana pumba hapa.

Maelezo yangu kwa kifupi yanasema hivi; uke una mechanism yake ya kujisafisha yenyewe kwa ndani, vidole havisafishi bali vinaleta usumbufu usiokuwa wa lazima huko ambao unapelekea kuharibu PH ya mahala husika. Je wewe ni mwanamke? Kama sio ushawahi ku-bake cake kwa oven au jiko la mkaa, swali, ninini kinatokea unapoifunua cake yako mara kwa mara kuiangalia kama imeivaa, kama umewahi fanya hivyo utakuwa unafahamu matokeo yake, huo mfano unafanana na mtu anayesafisha uke kwa kuingiza vidole ndani.

Btw, nikuulize ninini exactly ambacho unadhani utakuwa unakisafisha/toa huko ndani? Je vidole vyako kama unaamini ni kweli vinasafisha Vinaweza kuingia kufika umbali gani ili usafishe kote? Je uke unaanzia wapi na kuishia wapi kiasi uweze kusafisha kote? Twende......
 
binti kiziwi unanionea kwa maswali yako hayo kwanza mie ni mwanaume kwahiyo hayo maswali mie mgeni 😛😛😛😛
Lakini maswali yangu yalijikita kwenye kuchagiza ile falsafa ya kukatazia kwamba kusitiwe vidole wakati wa kujisafisha wakati uume umeaminiwa uingie hamna shida
Wakati wanaume wapima oil wanaingiza vidole vyao bado Mwenyezi uke wakati wa kuswafi yeye asitie chake
nakadhalika
Binafsi sina ujuzi wowote juu ya namna wanawake wanatakiwa kuosha K zao lakini napingana na swala la uoshaji wa uke bila kutia vidole
Asante
 
Inajisafisha yenyewe.. ukisafisha kwa kemikali unaua bakteria ambao kazi yao ni kusafisha hiyo kitu na mwisho wake utakuta unanuka.
Dada zangu na wadogo zangu leo nina swali kwenu naombeni maoni yenu.

Nimefanya utafiti nikagundua mnatumia njia mbalimbali mnazotumia kusafisha sehemu zenu za siri. Kuna njia ya kwanza ambayo wakati wa kusafishia huko kwenye gidhinyaku, mnaingiza vidole huko ndani ndani na mnachokonoa hasa huko ndani.

Na kuna njia hii mnasafisha kwa kuparaza paraza juu juu na hata kidole unakuta anaingiza labda kidole kimoja tu.
Hawa wanaopapasa pasa niliwahi kumuuliza moja kwanini haingiza madole huko? Akanijibu kuingiza madole huko kunaharibu uchi (uchi unatanuka) sijui kama kuna ukweli.

Na kuna mwingine nilikuta anatumia sabuni kabisa kusafisha huko mpaka nikashangaa maana ni wachache sana wanaotumia sabuni kwenye kusafisha uchi zao.

Naomba kuuliza, je ni njia ipi ni nzuri na bora katika usafishaji wa uchi?

NB: usiniulize huu uchunguzi wangu nimeufanyia wapi. Maana bado sijaoa napiga mechi za nyumbani na ugenini.
 
Back
Top Bottom