Kwa wanawake tu: Je ni njia gani nzuri kusafisha sehemu ya siri?

Aisee huu uzi nimedindisha kisha nikadindua then nikadindisha tena hadi inauma.
 
Unforgetable Ukienda kwa ma-dr wanakwambia hakuna kitu inaitwa utoko. Norma discharge uwa ni colourless au nyeupe kiasi, ikizidi hizo tena zinakuwa ni Candida's. Discharge ikiwa na harufu mbaya hizo ni fungus.
Ile pic uliyoweka Mara nyingi utokea wakati wa ovulation
KE yeyote yule ukiona discharge haieleweki ongoza kwa gynoo!
Uko chini anapaswa aingie dudu LA yuyu tu.
 
yaaani nakiri mmenifundisha vitu vingi sana maana mabinti niliokuwa nakutanana nao huku huko chini pashalowa nilikuwa nawaona kama wachafu fulani hivi.
Ila jamani dada zangu tuacheni utani uko chini kukiwa na unyevu unyevu hata mzuka wa kunyonya tamu inakata kabisa.
Kitu inavutia kunyonya kikiwa dry.
 
Kwa lugha rahisi n kwamba dushelele tu ndo linaruhusiwa kuingia humo ili lifanye yake
Siamini kama ni hivyo basi risk ni kubwa mno kwa sababu una uhakika gani na usafi wa uume unaoingia huko kama vidole vyako tu hutaki viingie kujisafisha?
Je mwaume mbona yeye anaingiza vidole vyake huko chini anakutia nyege na kadharika je vidole vya mwenzi wako unaviamini nini?
Elimu zaidi ya usafi inahitajika hizi mnazolishana ni pumba
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mnyonye kabla hajalainika. Hope umeelewa
 
Hujaelewa. Viwe vyangu viwe vya mwanaume ni marufuku kujichokonoa uko ndani.
Kwani sehemu za kunyegeshana zimeisha? Huzijui?
 

Yote uliyosema yanaukweli ila hiyo part ya dokta kukwambie hakuna kitu kinaitwa Utoko nadhani utakua hujaelewa maana yake mkuu
Cc Kingsmann
 
Hujaelewa. Viwe vyangu viwe vya mwanaume ni marufuku kujichokonoa uko ndani.
Kwani sehemu za kunyegeshana zimeisha? Huzijui?
Nimeelewa madam
Tatizo ni mipaka ya ufanyaji mapenzi na Uhuru wa mwanaume kwenye mapenzi afanye nini na asifanye nini
Lakini pia kuchokonoa kupo tu na ndo kujamiiana kwenyewe
Unachokifanya uume ni kuingizwa na kutoka yaani mchonooo.. Na hapo ndo shaka inapokuja
 
Haiwezekani K imefanywa namna hiyo halafu wakati wa usafi eti usitie kidole ndani kuuswafi
Hiyo bibi atazeeeka na atakuwa mchafu hatarii
 

[emoji23][emoji23][emoji23]eti pumba jamoni

Cc Kingsmann
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…