Khaaa πππNimeelewa madam
Tatizo ni mipaka ya ufanyaji mapenzi na Uhuru wa mwanaume kwenye mapenzi afanye nini na asifanye nini
Lakini pia kuchokonoa kupo tu na ndo kujamiiana kwenyewe
Unachokifanya uume ni kuingizwa na kutoka yaani mchonooo.. Na hapo ndo shaka inapokuja
Ahsante. Tundu linalopitisha mkojo ndio linalopitisha mtoto?
Ahsante. Tundu linalopitisha mkojo ndio linalopitisha mtoto?
So yako mawili kwenye uchi wa mwanamke mkuu?
Akikujibu umuulize pia hilo tundu la kukojolea lipo upande gani wa Papuchi humo ndichi?na lina ukubwa kulinganisha na lile tamu la ku'Thrust dushe?So yako mawili kwenye uchi wa mwanamke mkuu?
So yako mawili kwenye uchi wa mwanamke mkuu?
I never had a sex mkuu.. so sina experience na vitu hv. Najaribu kutafuta maarifa ili siku nikipata nisionekane bwege
Whatever it is...Yote uliyosema yanaukweli ila hiyo part ya dokta kukwambie hakuna kitu kinaitwa Utoko nadhani utakua hujaelewa maana yake mkuuView attachment 1258777
Cc Kingsmann
Kwa kweliMa haramia mmewaharibia wanawake uzi wao [emoji57][emoji57][emoji57]
Ha ha ngoja kwanza niendelee kusoma commentKwa lugha rahisi n kwamba dushelele tu ndo linaruhusiwa kuingia humo ili lifanye yake
Siamini kama ni hivyo basi risk ni kubwa mno kwa sababu una uhakika gani na usafi wa uume unaoingia huko kama vidole vyako tu hutaki viingie kujisafisha?
Je mwaume mbona yeye anaingiza vidole vyake huko chini anakutia nyege na kadharika je vidole vya mwenzi wako unaviamini nini?
Elimu zaidi ya usafi inahitajika hizi mnazolishana ni pumba
Changia aise usiishie kusoma tuHa ha ngoja kwanza niendelee kusoma comment
Kwa lugha rahisi n kwamba dushelele tu ndo linaruhusiwa kuingia humo ili lifanye yake
Siamini kama ni hivyo basi risk ni kubwa mno kwa sababu una uhakika gani na usafi wa uume unaoingia huko kama vidole vyako tu hutaki viingie kujisafisha?
Je mwaume mbona yeye anaingiza vidole vyake huko chini anakutia nyege na kadharika je vidole vya mwenzi wako unaviamini nini?
Elimu zaidi ya usafi inahitajika hizi mnazolishana ni pumba
Ahsante. Tundu linalopitisha mkojo ndio linalopitisha mtoto?
binti kiziwi unanionea kwa maswali yako hayo kwanza mie ni mwanaume kwahiyo hayo maswali mie mgeni ππππVizuri, sikumbuki kusema vidole vya mwenza wangu vipite huko, mie nimesema usiingize kidole chako au cha yeyote huko.
Tafadhali tusaidie hiyo elimu ya usafi unayoifahamu ili tuache kulishana pumba hapa.
Maelezo yangu kwa kifupi yanasema hivi; uke una mechanism yake ya kujisafisha yenyewe kwa ndani, vidole havisafishi bali vinaleta usumbufu usiokuwa wa lazima huko ambao unapelekea kuharibu PH ya mahala husika. Je wewe ni mwanamke? Kama sio ushawahi ku-bake cake kwa oven au jiko la mkaa, swali, ninini kinatokea unapoifunua cake yako mara kwa mara kuiangalia kama imeivaa, kama umewahi fanya hivyo utakuwa unafahamu matokeo yake, huo mfano unafanana na mtu anayesafisha uke kwa kuingiza vidole ndani.
Btw, nikuulize ninini exactly ambacho unadhani utakuwa unakisafisha/toa huko ndani? Je vidole vyako kama unaamini ni kweli vinasafisha Vinaweza kuingia kufika umbali gani ili usafishe kote? Je uke unaanzia wapi na kuishia wapi kiasi uweze kusafisha kote? Twende......
Dada zangu na wadogo zangu leo nina swali kwenu naombeni maoni yenu.
Nimefanya utafiti nikagundua mnatumia njia mbalimbali mnazotumia kusafisha sehemu zenu za siri. Kuna njia ya kwanza ambayo wakati wa kusafishia huko kwenye gidhinyaku, mnaingiza vidole huko ndani ndani na mnachokonoa hasa huko ndani.
Na kuna njia hii mnasafisha kwa kuparaza paraza juu juu na hata kidole unakuta anaingiza labda kidole kimoja tu.
Hawa wanaopapasa pasa niliwahi kumuuliza moja kwanini haingiza madole huko? Akanijibu kuingiza madole huko kunaharibu uchi (uchi unatanuka) sijui kama kuna ukweli.
Na kuna mwingine nilikuta anatumia sabuni kabisa kusafisha huko mpaka nikashangaa maana ni wachache sana wanaotumia sabuni kwenye kusafisha uchi zao.
Naomba kuuliza, je ni njia ipi ni nzuri na bora katika usafishaji wa uchi?
NB: usiniulize huu uchunguzi wangu nimeufanyia wapi. Maana bado sijaoa napiga mechi za nyumbani na ugenini.
Ahsante naomba location tafadhali nijue yalipoHapana ni matundu mawili tofauti, V na U.
Ahsante naomba location tafadhali nijue yalipo
Dooh haya..Hahha kuna vitabu vya sayansi darasa la sita B, kaangalie, ama kamuulize Mr. Google atakupa picha uone location.
Dooh haya..
I wish siku moja nishuhudie mwenyewe kwa macho