Kwa wanawake tu: Ni dosari zipi za wanaume zinazowakera?

Mimi nipo tayari uniite na unione bahili lakini vibunda vyangu na uchumi ubaki intact ili hata ukinichoka na wenzio wanaonimezea mate wakijua mi nina hela na hawajui mi bahili na wao wapate nafasi niwakule then wasanuke mi bahili wasepe and the circle continues........Men, please keep your money for yourselves....
 
Sawa.
 
Bora uitwe bahili kuliko kuitwa masikini.
 
Back
Top Bottom