Sasa nisipoosha nani aoshe mkuu!Ya kweli hayo?
Wife material kabisa wewe.. Kazi ibaki kwa wanaume wa JF sasa..
Nitageuka na kurudi nilipotoka. Kwa hali hiyo nitamuacha manake nitakuwa na date na psychopath.
Nyie mko REAL.Nitageuka na kurudi nilipotoka. Kwa hali hiyo nitamuacha manake nitakuwa na date na psychopath.
Nitageuka na kurudi nilipotoka. Kwa hali hiyo nitamuacha manake nitakuwa na date na psychopath.
Run as fast as possible 😁
Nyie mko REAL.
Ni kufanya usafi tuu hapo, hakuna namna ingine!
Nitageuka na kurudi nilipotoka. Kwa hali hiyo nitamuacha manake nitakuwa na date na psychopath.
haha atengue nini mama, nakuhamu mwenzio niko mpweke sanaSasa nisipoosha nani aoshe mkuu!
Mie tayari mewahiwa mkuu, tengua huo mstari wa mwisho!