Kwa wanawake tu, wanaume tunakaribishwa kuchomekea

Kwa wanawake tu, wanaume tunakaribishwa kuchomekea

Na pia nionavyo ile itakuwa sehemu ya kutunzia vitu visivyotumika sio bure.

Maana palivyokaa ukijifanya kusafisha waeza maliza masiku unapaeka sawa na pasikae. [emoji3][emoji3][emoji3]
Na ukimaliza unalazwa maana utakuwa ushapata maradhi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbaya zaidi umefanya usafi kisha kidume ana kwambia hivi "Mpenzi mwanaume atakaye kuoa ana bahati unaonekana msafi mno".
Unamjibu tu politely, "ana bahati sana, namuonea tu huruma huyo mwanamke mwenzangu atakaekuvagaa, utampa pole yangu in advance"
 
Nimekuta viatu vya kike mlangoni! Nimerudi
umeogopa tu mgeni alikuwa kwa seble anaangalia marudio ya sultani siwezi laza Mimi mwingine kwa bed yako ujue. Fanya ukuje arsenal akifungwa baadae walau unifute machozi mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbaya zaidi umefanya usafi kisha kidume ana kwambia hivi "Mpenzi mwanaume atakaye kuoa ana bahati unaonekana msafi mno".
Hawachi
 
Back
Top Bottom