Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 2,430
- 5,910
Kama anajua usafi asinge acha jiko chafuHivi unafikiri kwa umri huo ambao ameweza kuwa na kwake hajui usafi? Kumfundisha nikujisumbua tu
Uchafu ni hulka ya MTU haijalishi anaumri gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anajua usafi asinge acha jiko chafuHivi unafikiri kwa umri huo ambao ameweza kuwa na kwake hajui usafi? Kumfundisha nikujisumbua tu
Unanionea mimiIts over Sanchez
unanionea mamaNaomba nivunje ahadi
Unanionea mimi
Umeniumiza moyo kwa kipindi kirefu saaana! Tena hadharani babaa, hurumia moyo wangu mimi jamaniiiunanionea mama
nisamehe mwenzio,Umeniumiza moyo kwa kipindi kirefu saaana! Tena hadharani babaa, hurumia moyo wangu mimi jamaniii
Sawa yameisha jamani!nisamehe mwenzio,
Asante mama: uukuje nyumbani sasaSawa yameisha jamani!
Hhahahaa nitakachoweza kumwambia akamuone psychiatrist.Saidia kumbadilisha mwenzako bana..
Hahaha umeona eee huyo anahitaji madaktari bingwa.Huyo wa hivyo sio mzima kabisa, anatakiwa kuwa mirembe.
Kabisa, wamfanyie ukarabati wa ubongo hadi akae sawa kwanza ndio mambo mengine yaendelee.Hahaha umeona eee huyo anahitaji madaktari bingwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitampiga makofi halafu namsimamia afanye usafi
Hahhahaha yaani siwezi nina kinyaa cha hatari.Unaonaje ukampeleka then akishapata msaada mkarudi wote kusaidiana kufanya usafi 😂😂
Ndo maana nkikwambia kumfundisha nikujisumbua maana anajua ila ameachaKama anajua usafi asinge acha jiko chafu
Uchafu ni hulka ya MTU haijalishi anaumri gani