Kwa wanawake tu, wanaume tunakaribishwa kuchomekea

Unaonaje ukampeleka then akishapata msaada mkarudi wote kusaidiana kufanya usafi 😂😂
Hahhahaha yaani siwezi nina kinyaa cha hatari.
Kwanza ntakua nimeshamuacha siku ya kwanza naona ilo jiko.
 
Hahahaha hicho kinyaa sasa ni mpaka kwenye yale mambo au 😂😂😂
 
Back
Top Bottom