Makusudi sioNdo maana nkikwambia kumfundisha nikujisumbua maana anajua ila ameacha
Ungekuwa wa kiume ungejua ni makusudi au sio makusudiMakusudi sio
TobaaaaNachomekea[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1079885
Hatuogopagi kusemwa[emoji6][emoji6]Nilivyo na gubu nitagombezaaaa halafu nitafanya usafi
Nitageuka na kurudi nilipotoka. Kwa hali hiyo nitamuacha manake nitakuwa na date na psychopath.
Mwanaume kama huyo hata ukiolewa nae nyumba yako itakuwa chafu muda wote.Ndio maana hamuolewi
Mwanaume kama huyo hata ukiolewa nae nyumba yako itakuwa chafu muda wote.
Mtu mzima huwezi mbadilishaInatakiwa wewe ukiwa kama mwanamke ndo umrekebishe atarekebishika sio kumkimbia