Kwa wanawake tu.

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Habari za weekend na familia zenu?
Swali langu kwa wanawake.
Je ushawahi toka out na boyfriend wako au mumeo na wewe ukawa sterling katika kulipa bill's?
Je ulijisikiaje?
Muwe na siku njema.
 
Ngoja waje ila JF wote ni matajiri kwahiyo expect majibu ya ndiyo kutoka KWAO.
 
Hivi wanaume mnajisikia raha hivo??? Mwanamke asimamie show? Ndio mnapenda??....nna maswali mengi najiuliza.
 
Habari za weekend na familia zenu?
Swali langu kwa wanawake.
Je ushawahi toka out na boyfriend wako au mumeo na wewe ukawa sterling katika kulipa bill's?
Je ulijisikiaje?
Muwe na siku njema.
Haijakaa sawa! Haipendezi kabisa
 
Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…