Kwa wanawake tu

Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI

Pole kwa yaliyokukuta.

Najua hapa ni kwa kina mama. Tafazali ukipata majibu nifahamishe kwa PM nikawaprintie mabinti zangu.

Kwaherini wanawake!:focus:
 
Pole kwa yaliyokukuta.

Najua hapa ni kwa kina mama. Tafazali ukipata majibu nifahamishe kwa PM nikawaprintie mabinti zangu.

Kwaherini wanawake!:focus:
Babu penda soma kati ya mistari sana! Mjuku kesha ngonoka hapo lolo
 
pole kwa yaliyokukuta.

Najua hapa ni kwa kina mama. Tafazali ukipata majibu nifahamishe kwa pm nikawaprintie mabinti zangu.

Kwaherini wanawake!:focus:
yapi babu mimi nilishapima tayari
 
yapi babu mimi nilishapima tayari
Sawa weye ushapima.... Je yeye? Na hayo makitu red hapo chini yatakuwa kwa ajili gani?

Samahani wanawake, nasepa!

Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI
 
sawa weye ushapima.... Je yeye? Na hayo makitu red hapo chini yatakuwa kwa ajili gani?

Samahani wanawake, nasepa!
wewe sepa bwana hiv huku jf watu huwa hawaongei kabisa
 
Unashangaa au unanisapoti?
Lakini na mwanamme afanye sio mie peke angu.

Ukiona mwanamme ana akili hata ya kukumbuka kujipima VVU ujue kakua huyo.
Sikubali kumpoteza.

Kidimu damu, kidamu damu kidanganya toto!!
 
unashangaa au unanisapoti?
Lakini na mwanamme afanye sio mie peke angu.

Ukiona mwanamme ana akili hata ya kukumbuka kujipima vvu ujue kakua huyo.
Sikubali kumpoteza.
ni kweli lakini kama hujawai kupima unaweza ufe mimi mara ya kwanza kupima nilitamani dunia ipasuke nilijuta nimetoa damu yangu ya nini?acha tu cv zingine bwana
 
Shosti mbona rahisi kambla hajatoa yake inaanza kutumika kit yangu.. na Condom atavaa pia hata kama negative
 
Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI

haaaaaaaaaaaaaaaa smile kumbe wewe ndo yuleeeeeeeeeeeeee uloposti kuleeeeeeeeeeeeeeeee.............
 
ni kweli lakini kama hujawai kupima unaweza ufe mimi mara ya kwanza kupima nilitamani dunia ipasuke nilijuta nimetoa damu yangu ya nini?acha tu cv zingine bwana
Orayt.... nshajua kumbe we ni mtu wa kujilipua! My! My! My!
 
Kidimu damu, kidamu damu kidanganya toto!!

Kinadanganya tena?????
Ubaya wa kupima lazima muuze mechi

ni kweli lakini kama hujawai kupima unaweza ufe mimi mara ya kwanza kupima nilitamani dunia ipasuke nilijuta nimetoa damu yangu ya nini?acha tu cv zingine bwana
Lazima roho itoke najua
Sijawahi pima anyway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…