Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI
Babu penda soma kati ya mistari sana! Mjuku kesha ngonoka hapo loloPole kwa yaliyokukuta.
Najua hapa ni kwa kina mama. Tafazali ukipata majibu nifahamishe kwa PM nikawaprintie mabinti zangu.
Kwaherini wanawake!:focus:
Sawa weye ushapima.... Je yeye? Na hayo makitu red hapo chini yatakuwa kwa ajili gani?yapi babu mimi nilishapima tayari
Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI
kweli kabisaaa
Unashangaa au unanisapoti?
Lakini na mwanamme afanye sio mie peke angu.
Ukiona mwanamme ana akili hata ya kukumbuka kujipima VVU ujue kakua huyo.
Sikubali kumpoteza.
ni kweli lakini kama hujawai kupima unaweza ufe mimi mara ya kwanza kupima nilitamani dunia ipasuke nilijuta nimetoa damu yangu ya nini?acha tu cv zingine bwanaunashangaa au unanisapoti?
Lakini na mwanamme afanye sio mie peke angu.
Ukiona mwanamme ana akili hata ya kukumbuka kujipima vvu ujue kakua huyo.
Sikubali kumpoteza.
Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI
Orayt.... nshajua kumbe we ni mtu wa kujilipua! My! My! My!ni kweli lakini kama hujawai kupima unaweza ufe mimi mara ya kwanza kupima nilitamani dunia ipasuke nilijuta nimetoa damu yangu ya nini?acha tu cv zingine bwana
Kidimu damu, kidamu damu kidanganya toto!!
Lazima roho itoke najuani kweli lakini kama hujawai kupima unaweza ufe mimi mara ya kwanza kupima nilitamani dunia ipasuke nilijuta nimetoa damu yangu ya nini?acha tu cv zingine bwana