Kwa wanawake tu

kweli sis mipira sio kabisa.ndo raha ya kupima.ndo maana wanawake hawatulii maana hawafaidi kila mahali mipira mipira chukua mmoja pimeni afya mle raha ya dunia khaaaa


Kid sis... wapi huko wanaume wanasisitiza mpira? Hii ndio naisikia kwako aisee....
 
Tokana na kazi ya babu yenu ya kukagua.... sishangai...lol

Ila wewe hapo naom
ba ujieleze nielewe why umetia kambi?
Eti babu Asprini kanambia nichague mjukuu wake, lakini kanikataza Smile eti ajamkagua bado! eti! eti! nisaidie dada AshaDii ya kweli haya! ndio maana nauza sura masaa yote bado sijaona.
 
nilikuwa nakataa kupima ili mipango mingine iendelee jamaayangu na ndugu zake wakanibeba wewe usipime belinda nilitamani kufa ile kusubiri majibu

Kweli nduguzo lazima walikushangaa..majibu yalivyokuja??

Mara ya kwanza naanza hizi mambo nikajipeleka Angaza mwenye kupima 2004, ile nakaribia kuingia angaza nikakwaruza gari la mtu nikawaza mbona balaa hili. Kuingia Angaza nilikuwa natetemeka, nikapimwa na kusubiria matokeo..sasa wakati ule storii nyingi kabla ya majibu. Mdada aliyekua ananihudumia alikuwa anahubiri wee mambo ya kuishi kwa matumaini mimi nawaza +ve or -ve...du! yakatoka nipo safi...Baada ya hapo nimezoea kupima, bila kupima na marudio si-doo namtu hata kama ana helmet..
 
Unashangaa au unanisapoti?
Lakini na mwanamme afanye sio mie peke angu.

Ukiona mwanamme ana akili hata ya kukumbuka kujipima VVU ujue kakua huyo.
Sikubali kumpoteza.
kumbe wewe ni She! niPM basi!
 
walishangaa lakini kwani wao wamepima ata?wote ni hao hao.yaani ni story ndefu kidogo.huwezi kunielewa vizuri lakini yamepita
 
Nimeshtuka!............... yaani mkishapimana hiyo mara moja tu mnajiachia......................... tutafika kweli?
 
huku kulikuwa KWA WANAWAKE TU! lakini naona kuna wababa wamehamia kabisaaaaaaaaaaaaaaa, wakiongozwa na babu..... tuwaeleweje? (samahani babu, unalo hiloooooooo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…