jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
Ah mi limenishuka tu hapa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI
so utapima au hutopima?
hivi kuna tobo hapa la kuchungulia ngoja nikae vizuri kwenye aka kona
Mkwe........ hiyo avatar yako unaonaje sisi wazazi tukafanya yale watoto wetu wataenda kuyafanya? Yaani waonaje tukionyesha njia... Yaani I mean unaonaje tukaunganisha damu wazazi kabla ya watoto.... Yaani I mean yaani...dah!.... Basi bana.haya karibuni..........................
Babu Asprin! mbona huyu anaweza akafix mambo yetu yaleeeeeeeee! vipi hapa?
Kumbe unambania Scofield, unasubiria siku ipunduke uje na sera zako!Shhhhh! Huyo mkwe wangu huyo... Kanizalia mkaza mwana huyu!:hatari:
Babu hapa haiwezekani bhana!!!!!!!!!!!Mkwe........ hiyo avatar yako unaonaje sisi wazazi tukafanya yale watoto wetu wataenda kuyafanya? Yaani waonaje tukionyesha njia... Yaani I mean unaonaje tukaunganisha damu wazazi kabla ya watoto.... Yaani I mean yaani...dah!.... Basi bana.
Mkwe mwondoe shetani akilini....................... kumbuka ni Kwaresma...................... vipi mkamwana wangu anaendeleaje huko shule? tuwakutanishe Pasaka basi.................... au unasemaje?Mkwe........ hiyo avatar yako unaonaje sisi wazazi tukafanya yale watoto wetu wataenda kuyafanya? Yaani waonaje tukionyesha njia... Yaani I mean unaonaje tukaunganisha damu wazazi kabla ya watoto.... Yaani I mean yaani...dah!.... Basi bana.
Kweli Scofield haiwezekani kabisa, God forbid!Kumbe unambania Scofield, unasubiria siku ipunduke uje na sera zako!
Babu hapa haiwezekani bhana!!!!!!!!!!!
Thanx, Mimi mzima mummy, hofu kwako........................ naona sasa upo bomba..............Fixed Point... Nice avatar... naturally beautiful Lady... Mzima mummy?
Babu Asprin! mbona huyu anaweza akafix mambo yetu yaleeeeeeeee! vipi hapa?
Hii ni kwa wajukuu tu.
Wakwe hamhusiki bana.
Haya nijalie hali yako mama mzaa chema wa mwanangu...!
Asante sana babu....................... ni vizuri ukatuweka wabibi hadharani........................Shhhhh! Huyo mkwe wangu huyo... Kanizalia mkaza mwana huyu!:hatari:
si ndo na mimi niliposhtuka! yaani kupimana ile mara moja tu ndo unaona mambo safi? yaani huyo mtu hata tukiwa tunapimana kila siku sitamkubalia hivi hivimnadanganyana humu ndani
msioangalia mtaambukizwa mno....
hakuna kipimo sahihi cha HIV cha papo kwa papo....
hiko ni kipimo cha mwanzo tu
kwanza virusi vinaakaa miezi mitatu bila kuonekana na kipimo chocote
sasa kama mmepima leo wakati alia mbukizwa wiki moja nyuma havitaonekana
kazi kwenu.....tumieni condoms na kupima muende hospitali........
si ndo na mimi niliposhtuka! yaani kupimana ile mara moja tu ndo unaona mambo safi? yaani huyo mtu hata tukiwa tunapimana kila siku sitamkubalia hivi hivi
naamini kabisa hapa tunaongelea mtu ambaye huishi naye..................... sasa hata kama hicho kipimo ni genuine, ndo kupimana hiyo mara moja tu unamwamini mtu kiasi cha kujiachia? kama unavyosema The Boss (hata mimi nimesema kwenye post ya jana) kuwa wataambukizwa wengimtu anakuwa na kipimo chake feki
unaambukizwa kirahisi mno
eti mtu anasema sitamuacha mtu wa hivyo..really?
mambo ya vipimo waachiwe wataamu wa hospitali...
Deal!!Mkwe mwondoe shetani akilini....................... kumbuka ni Kwaresma...................... vipi mkamwana wangu anaendeleaje huko shule? tuwakutanishe Pasaka basi.................... au unasemaje?
naamini kabisa hapa tunaongelea mtu ambaye huishi naye..................... sasa hata kama hicho kipimo ni genuine, ndo kupimana hiyo mara moja tu unamwamini mtu kiasi cha kujiachia? kama unavyosema The Boss (hata mimi nimesema kwenye post ya jana) kuwa wataambukizwa wengi
Good!Deal!!
Ila kabla hatujawakutanisha huoni kuwa inapendeza wazazi tukakutana kwanza kwa ajili ya the needful:A S-coffee:
mwezi tu..................... unaweza kuacha kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa, maana hujui umwamini nani.ukienda kuwasikiliza wataalamu wa hiv
unaweza shindwa ku do hata mwezi mzima
maana hata meno mabovu yenye matundu na kutoa damu
ni risk kwenye kunyonyana na kadhalika....achilia mbali kuishika tu na mkono condom....
watu humu wanajidanganya mno...