Kwa wanawake tu

Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI

Nitachukua na kumpima yeye wakwanza. Najua anataka Ngono nzembe pasipo kondom!
 
so utapima au hutopima?

huu hapa chini ni ushauri kwa binti yangu mpendwa out there....

"binti, upime usipime still liambie hilo dubwana litumie protection. kwani hiyo kit aliyoleta huyo dubwana waijua ilikotoka weye??"
 
Babu Asprin! mbona huyu anaweza akafix mambo yetu yaleeeeeeeee! vipi hapa?

Shhhhh! Huyo mkwe wangu huyo... Kanizalia mkaza mwana huyu!:hatari:
Kumbe unambania Scofield, unasubiria siku ipunduke uje na sera zako!

Mkwe........ hiyo avatar yako unaonaje sisi wazazi tukafanya yale watoto wetu wataenda kuyafanya? Yaani waonaje tukionyesha njia... Yaani I mean unaonaje tukaunganisha damu wazazi kabla ya watoto.... Yaani I mean yaani...dah!.... Basi bana.
Babu hapa haiwezekani bhana!!!!!!!!!!!

Mkwe........ hiyo avatar yako unaonaje sisi wazazi tukafanya yale watoto wetu wataenda kuyafanya? Yaani waonaje tukionyesha njia... Yaani I mean unaonaje tukaunganisha damu wazazi kabla ya watoto.... Yaani I mean yaani...dah!.... Basi bana.
Mkwe mwondoe shetani akilini....................... kumbuka ni Kwaresma...................... vipi mkamwana wangu anaendeleaje huko shule? tuwakutanishe Pasaka basi.................... au unasemaje?
 
mnadanganyana humu ndani
msioangalia mtaambukizwa mno....

hakuna kipimo sahihi cha HIV cha papo kwa papo....

hiko ni kipimo cha mwanzo tu

kwanza virusi vinaakaa miezi mitatu bila kuonekana na kipimo chocote

sasa kama mmepima leo wakati alia mbukizwa wiki moja nyuma havitaonekana

kazi kwenu.....tumieni condoms na kupima muende hospitali........
 
si ndo na mimi niliposhtuka! yaani kupimana ile mara moja tu ndo unaona mambo safi? yaani huyo mtu hata tukiwa tunapimana kila siku sitamkubalia hivi hivi
 
si ndo na mimi niliposhtuka! yaani kupimana ile mara moja tu ndo unaona mambo safi? yaani huyo mtu hata tukiwa tunapimana kila siku sitamkubalia hivi hivi

mtu anakuwa na kipimo chake feki
unaambukizwa kirahisi mno
eti mtu anasema sitamuacha mtu wa hivyo..really?
mambo ya vipimo waachiwe wataamu wa hospitali...
 
mtu anakuwa na kipimo chake feki
unaambukizwa kirahisi mno
eti mtu anasema sitamuacha mtu wa hivyo..really?
mambo ya vipimo waachiwe wataamu wa hospitali...
naamini kabisa hapa tunaongelea mtu ambaye huishi naye..................... sasa hata kama hicho kipimo ni genuine, ndo kupimana hiyo mara moja tu unamwamini mtu kiasi cha kujiachia? kama unavyosema The Boss (hata mimi nimesema kwenye post ya jana) kuwa wataambukizwa wengi
 
Mkwe mwondoe shetani akilini....................... kumbuka ni Kwaresma...................... vipi mkamwana wangu anaendeleaje huko shule? tuwakutanishe Pasaka basi.................... au unasemaje?
Deal!!

Ila kabla hatujawakutanisha huoni kuwa inapendeza wazazi tukakutana kwanza kwa ajili ya the needful:A S-coffee:
 
ukienda kuwasikiliza wataalamu wa hiv
unaweza shindwa ku do hata mwezi mzima
maana hata meno mabovu yenye matundu na kutoa damu
ni risk kwenye kunyonyana na kadhalika....achilia mbali kuishika tu na mkono condom....
watu humu wanajidanganya mno...
 
Deal!!

Ila kabla hatujawakutanisha huoni kuwa inapendeza wazazi tukakutana kwanza kwa ajili ya the needful:A S-coffee:
Good!
simu si zipo mkwe? tena kuna hadi airtime za promotion.................... kata wewe................ niPM namba yako nitakupigia
 
ukienda kuwasikiliza wataalamu wa hiv
unaweza shindwa ku do hata mwezi mzima
maana hata meno mabovu yenye matundu na kutoa damu
ni risk kwenye kunyonyana na kadhalika....achilia mbali kuishika tu na mkono condom....
watu humu wanajidanganya mno...
mwezi tu..................... unaweza kuacha kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa, maana hujui umwamini nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…