Kwa wanawake, unapokubali kuchepuka ni aibu na fedheha sana sana kwa mumeo

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Kinachotuuma wanaume sio wewe kugawa nje hapana kinachoumiza ni vile mwanaume mwenzangu kuona utupu wako na kujua uzuri na udhaifu wàko wakati si mmiliki wa mali.

Sisi wanaume tukiwa faragha uwa tunapenda kumchora mwanamke maumbile yk na kumfanyia tathimini sisi wanaume hasa waume zenu tuliowaoa kwa heshima uwa tunawafichia sana madhaifu yenu ya kimaumbile maana ndio tumeshawabeba.

Sasa ninaposikia au kuona eti mjinga mwingine amekupanda isee ni km umeuza siri kwa adui yaani unasababisha mumeo adhalilike and trust me mwanaume tukiambiwa tchague kumfumania mkeo umpendae na kufa kwa kunyongwa asilimia💯 watasema bora wanyongwe.

Hii ni nature kwa viumbe wote jinsia ya kiume hawapendi kuchagia wanazotia na male wengine.
 
Nilijuana na mume wangu tangu nikiwa na miaka 16. Niliolewa nikiwa na miaka 17 na nikazaa na miaka hiyo 17. Akanisomesha miaka ya 1988 nikamaliza f4 nikafaulu nikaenda A level.. badae nikaingia udsm. Nikasomea sheria.

Miaka ya 2016 mume wangu ambaye amenipita miaka 21 uume ukakosa nguvu kwa sabb ya sukari.

Nilipata shida sana mschana nina ham sipati mapenzi. Unadhani kama ni wewe ungefanyeje?? Nijibu niendelee na stori
 
Sukari hio ndio Ile ulimpa Wewe mpaka uume ukapoteza network au unazungumzia Sukari ipi ugonjwa?

JF kuna vichwa humu hakujajaa madafu
 
Nilijuana na mume wangu tangu nikiwa na miaka 16. Niliolewa nikiwa na miaka 17 na nikazaa na miaka hiyo 17. Akanisomesha miaka ya 1988 nikamaliza f4 nikafaulu nikaenda A level.. badae nikaingia udsm...
Shida ya kuolewa na wazee kwa sababu ya Mali na pesa
Kila jambo lina faida na hasara.

At your 30s tayari unalala na mzee mwenye mvi, stroke ,kisukari, ukurutu, pufumbu kusinyaa. .....daaah.

Wewe ni halali yako kuchepuka.
 
Mzee kashakula vinono acha vijana wale mabakibaki ya makombo maana mpaka Bikra katafuna yeye
 
Nilijuana na mume wangu tangu nikiwa na miaka 16. Niliolewa nikiwa na miaka 17 na nikazaa na miaka hiyo 17. Akanisomesha miaka ya 1988 nikamaliza f4 nikafaulu nikaenda A level.. badae nikaingia udsm. Nikasomea sheria.

Miaka ya 2016 mume wangu ambaye amenipita miaka 21 uume ukakosa nguvu kwa sabb ya sukari.

Nilipata shida sana mschana nina ham sipati mapenzi. Unadhani kama ni wewe ungefanyeje?? Nijibu niendelee na stori
Endelea na story mkuu, hapo lazima ungetafuta mtu wa kuku kuna... endelea sasa..
 
Shida ya kuolewa na wazee kwa sababu ya Mali na pesa
Kila jambo lina faida na hasara.

At your 30s tayari unalala na mzee mwenye mvi, stroke ,kisukari, ukurutu, pufumbu kusinyaa. .....daaah.

Wewe ni halali yako kuchepuka.
Hapo aliolewa mumewe ana miaka 38 yeye ana 17, mwanzoni hawakuona yanayokwenda kutokea.
 
Nilijuana na mume wangu tangu nikiwa na miaka 16. Niliolewa nikiwa na miaka 17 na nikazaa na miaka hiyo 17. Akanisomesha miaka ya 1988 nikamaliza f4 nikafaulu nikaenda A level.. badae nikaingia udsm. Nikasomea sheria.

Miaka ya 2016 mume wangu ambaye amenipita miaka 21 uume ukakosa nguvu kwa sabb ya sukari.

Nilipata shida sana mschana nina ham sipati mapenzi. Unadhani kama ni wewe ungefanyeje?? Nijibu niendelee na stori
Miaka ya 1988 akakusomesha, hvy ww umezaliwa 1970+ halafu unajiita msichana?
Anyway, labla ni chai.
 
Nilijuana na mume wangu tangu nikiwa na miaka 16. Niliolewa nikiwa na miaka 17 na nikazaa na miaka hiyo 17. Akanisomesha miaka ya 1988 nikamaliza f4 nikafaulu nikaenda A level.. badae nikaingia udsm. Nikasomea sheria.

Miaka ya 2016 mume wangu ambaye amenipita miaka 21 uume ukakosa nguvu kwa sabb ya sukari.

Nilipata shida sana mschana nina ham sipati mapenzi. Unadhani kama ni wewe ungefanyeje?? Nijibu niendelee na stori
Wewe msichana au Bibi tena🤣🤣🤣
 
Naomba nije pm shangaz
 
Back
Top Bottom