Kwa wanawake, unapokubali kuchepuka ni aibu na fedheha sana sana kwa mumeo

Nilijuana na mume wangu tangu nikiwa na miaka 16. Niliolewa nikiwa na miaka 17 na nikazaa na miaka hiyo 17. Akanisomesha miaka ya 1988 nikamaliza f4 nikafaulu nikaenda A level.. badae nikaingia udsm. Nikasomea sheria.

Miaka ya 2016 mume wangu ambaye amenipita miaka 21 uume ukakosa nguvu kwa sabb ya sukari.

Nilipata shida sana mschana nina ham sipati mapenzi. Unadhani kama ni wewe ungefanyeje?? Nijibu niendelee na stori
Chai
 
Hii imeenda 😂
 
Kinachotuuma wanaume sio wewe kugawa nje hapana kinachoumiza ni vile mwanaume mwenzangu kuona utupu wako na kujua uzuri na udhaifu wàko wakati si mmiliki wa mali.

Sisi wanaume tukiwa faragha uwa tunapenda kumchora mwanamke maumbile yk na kumfanyia tathimini sisi wanaume hasa waume zenu tuliowaoa kwa heshima uwa tunawafichia sana madhaifu yenu ya kimaumbile maana ndio tumeshawabeba

Sasa ninaposikia au kuona eti mjinga mwingine amekupanda isee ni km umeuza siri kwa adui yaani unasababisha mumeo adhalilike and trust me mwanaume tukiambiwa tchague kumfumania mkeo umpendae na kufa kwa kunyongwa asilimia💯 watasema bora wanyongwe..

Hii ni nature kwa viumbe wote jinsia ya kiume hawapendi kuchagia wanazotia na male wengine.
Talk for ur self man...nijinyonge kisa mbususu🤣🤣🤣🤣🤣 sijafikia ujinga huo
 
Nature inahusishwa had pasipohusika na kugeuka upuuzi.
Em mtupumzishee na hizo nature uchwaraa zenu, mxxxxiiiiiieeeeew
 
Nilijuana na mume wangu tangu nikiwa na miaka 16. Niliolewa nikiwa na miaka 17 na nikazaa na miaka hiyo 17. Akanisomesha miaka ya 1988 nikamaliza f4 nikafaulu nikaenda A level.. badae nikaingia udsm. Nikasomea sheria.

Miaka ya 2016 mume wangu ambaye amenipita miaka 21 uume ukakosa nguvu kwa sabb ya sukari.

Nilipata shida sana mschana nina ham sipati mapenzi. Unadhani kama ni wewe ungefanyeje?? Nijibu niendelee na stori
Msaidie kutafuta dawa kama alivyo kusaidia wwe kutafuta elimu!!
 
Back
Top Bottom