Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Futa hiyo comment bro.Low key
Ushafyata kenge mmojaFuta hiyo comment bro.
Kinawezekana!Mwaka 2014, rapa Gucci Mane alimkabidhi mpenzi wake, Keyshia Ka’oir, dola milioni 2 ambazo ni sawa na (Tsh. Bilioni 5) za mwisho kabla ya kuelekea gerezani.
Badala ya kutumia fedha hizo, Keyshia alizigeuza kuwa mtaji, akizalisha biashara na uwekezaji uliomrudishia dola milioni 6 ambazo ni sawa na ( Tsh. Bilioni 15)
Miaka kadhaa baadaye Gucci alipoachiwa huru, alikuta kila kitu kikiwa kimeongezeka, na Keyshia akamrudishia kiasi cha pesa alichompatia.
Kwa sasa wawili hao ni Wanandoa na wanaendelea kujenga utajiri kwa pamoja.
My Take
Kwa wanawake wa Bongo hiki kitu hakiwezekani
Bongo Hata K unaikuta umeongeza ukubwa sembuse pesa?Mwaka 2014, rapa Gucci Mane alimkabidhi mpenzi wake, Keyshia Ka’oir, dola milioni 2 ambazo ni sawa na (Tsh. Bilioni 5) za mwisho kabla ya kuelekea gerezani.
Badala ya kutumia fedha hizo, Keyshia alizigeuza kuwa mtaji, akizalisha biashara na uwekezaji uliomrudishia dola milioni 6 ambazo ni sawa na ( Tsh. Bilioni 15)
Miaka kadhaa baadaye Gucci alipoachiwa huru, alikuta kila kitu kikiwa kimeongezeka, na Keyshia akamrudishia kiasi cha pesa alichompatia.
Kwa sasa wawili hao ni Wanandoa na wanaendelea kujenga utajiri kwa pamoja.
My Take
Kwa wanawake wa Bongo hiki kitu hakiwezekani
Wala ni vile sipendi sifa 😂🤣Ushafyata kenge mmoja
Hata mimi naonaWala ni vile sipendi sifa 😂🤣
Salimia kwanza, isije ikawa kama vile wote tuli shinda hapo unapo lewaga.Hata mimi naona