Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
[h=6]Boyfrend anapiga sim,'mambo mke wangu?' Binti' safi mume wangu za kutwa?'
Bf; safi tu,vipi umemaliza kusuka
Binti; he kwani nilisema nasuka?
Bf; aaah sory nimejichanganya
Na sim inakatwa,baada ya muda anapiga na kujikeshachekesha anadai alikua anakutania. Huu si wizi huu jamani[/h]
Kuna watu wanajifanyaga wako very smart, lakini kakitu kadogo tu kanawakamatisha!!