Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
[h=6]Boyfrend anapiga sim,'mambo mke wangu?' Binti' safi mume wangu za kutwa?'
Bf; safi tu,vipi umemaliza kusuka
Binti; he kwani nilisema nasuka?
Bf; aaah sory nimejichanganya
Na sim inakatwa,baada ya muda anapiga na kujikeshachekesha anadai alikua anakutania. Huu si wizi huu jamani[/h]
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day boyUtabiri wangu kwenye hii thread ulikuwa kabla posti ya 20 haijafika Saint Ivuga atakuwa tayari hapa ameishakuja hapa lol!!!
umeonaeeeeeeeeeeeeeh! mulika mwizi
rudi kwa Kipipi kule aisee....huyu mwache tu...nina homework nae lol
wenzio wanajua mpaka majina ya 'wake wenza wenzao'
wewe unatafuta sign kwenye yahoo?
this is a man's world....lol