Kwa wanawake walio kwenye ndoa: Mulika mwizi!

Du sidhani kama kuna mwanamume atabaki kwa dalili hizo. Hasa ndoa zenye umri wa miaka 5 na kuendelea. I have seen a lot of those sign, and l think l did cause some of those change of behavior back then....

Jamani ni kuomba Mungu tu, once u r married hakuna kitu cha 100% ni compromise tu. U want Mia% be single n have relationship with only urself!
 
Lakini wajameni mtoa mada hajakwambia uchunguze,ye kakujuza tu dalili nakati ya hizo hutokea tu hata bila kuchunguza,mfano hiyo ya kuwa mad at you kwa kila ukifanyacho!
 
Kazi mnayo wenye ndoa. . . .
Dalili zikiongezeka mbinu mpya nazo zinabuniwa.
 
...dahhhh, kwenye hizi ndoa hakuna hata jema! lawama kila kona....duhh!
 
Mi nikigundua tu mke wangu ananichunguza, naanza tabia feki, wakati mwingine najinyunyizia uturi wa kike ambao huwa nauacha kwenye gari, au najitumia text msg na namba yangu ambayo haijui, yaani namrusha kiroho mbaya hadi aache ushakunanku
 
Hii ni tool kit kwa wanawake; mbona wanaume mmekuwa concerned sana. lol.

Na kusema eti ntajua tu hakuna siri; yes utajua when it is too late wakati mumeo keshazaa watoto kadhaa nje au keshaleta gonjwa. The sooner the better
.:juggle:
 
Buji buji hapa hakuna kuchunguza ila tunaongelea overt behavior. Dalili za wazi. Upo???
Mi nikigundua tu mke wangu ananichunguza, naanza tabia feki, wakati mwingine najinyunyizia uturi wa kike ambao huwa nauacha kwenye gari, au najitumia text msg na namba yangu ambayo haijui, yaani namrusha kiroho mbaya hadi aache ushakunanku
 
Umeona eeh. Yani hizi dalili cheater anazionyesha bila kujijua. Huna haja ya kumchunguza what you need is to have this tool kit with you. lol.

Lakini wajameni mtoa mada hajakwambia uchunguze,ye kakujuza tu dalili nakati ya hizo hutokea tu hata bila kuchunguza,mfano hiyo ya kuwa mad at you kwa kila ukifanyacho!
 
Kwa sie akina pika pakua, unasubiri ile amekaribia kurudi unaoga, vaa nguo ya kutokea, viatu unaviweka barazani as if ndo umevua, sasa unasubiri aje.
Akifika huwa wanatokwa roho kama mjusi.

Mi nikigundua tu mke wangu ananichunguza, naanza tabia feki, wakati mwingine najinyunyizia uturi wa kike ambao huwa nauacha kwenye gari, au najitumia text msg na namba yangu ambayo haijui, yaani namrusha kiroho mbaya hadi aache ushakunanku
 
Sio mbaya kutumia hii tool kit, ila inaweza sababisha kibo na mawenzi usifike sababu ya ku-concentrate na tool kit.
Heri nusu shari kuliko shari kamili. Ubaya hata ukiziona huvunji ndoa ya nini kujipa kijiba cha roho wakati third party anapanda hadi mt everest?

Umeona eeh. Yani hizi dalili cheater anazionyesha bila kujijua. Huna haja ya kumchunguza what you need is to have this tool kit with you. lol.
 
Hatuongelei mademu wala kubadili wanaume. Soma kichwa cha habari. Tunaongelea ndoa TAKATIFU. na kwa kuwa hakuna kubadili inabidi tuilinde. Upo???

Mwambie Boss na kama ndio anazitafuta alama hivyo atabadilisha wanaume kama underware (nasikia baadhi ya mademu wanabadilisha hata mara tatu kwa siku). Usimchunguze bata mama!!!
 
Boss hii atricle si relevant kwa kila mwanamke; mfano hao ulio wa describe wewe. Kwa wengine (design yangu) unawafaa.

wenzio wanajua mpaka majina ya 'wake wenza wenzao'
wewe unatafuta sign kwenye yahoo?
this is a man's world....lol
 
At first nilidhani haujali ila hapo kwenye bold ume ji contradict; do you agree???
It sounds like wivu sina ila roho inauma; lol.

Sitaki pressure,mwache apande ashuke as long as dharau kwangu hakuna,watoto wangu wazima na hawakosi kitu wala siumizi roho yangu,kwa nini ninunue maradhi ya moyo,kitu kimoja najua hamna siri duniani kwa hyo ipo siku 2 nitajua,
 
Mulika mwizi ukiona demu wako ukimpigia simu unaambiwa inatumika au apokei simu halafu ukimuuliza anakwambia nilikuwa napika,nilikuwa na mama,nilikuwa nimeiasha chumbani cm mulika mwizi kabla hajakomba vyote
 
Sasa mbona unamulika mwizi huku jua linapowaka besti?
 
alafu haya mambo magumu mie yaliniahinda kabisa wapiga simu hapokei nimeona bora kutojipa presha bure .....ngoja nitulie na dada poa no kujuana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…