Kwa wanawake walioolewa wanatoka nje ya ndo?

sababu kubwa nikuto muogoba Mungu.
Pili shetani ameamua kuingilia ndoa kama institution amboyo ina determine what next generation will look like.Familia nzuri itakuwa na watoto wazuri(wema) na wanao muogopa mungu. familia waruwaru (baba waruwaru , mama mcharuko) na watoto watakuwa hivyo hivyo. kila siku tunakuwa na watoto wa mitaaani, watoto yatima, machangudoa, vibaka ukikaa nahao wausika watakuambi kisa baba kamuacha mama au ugomvi usiyo kwisha nyumbani au wazazi wamekufa kwa HIV/AIDS. hivyo shetani amaamua kushikilia hapohapo.
Sababu nyigine zote ni justification tu ya kujiridhisha. kwani ukiona una m cheat mume au mke wako kwasababu yeyote hapa duniani basi ujue umeshanasa kwenye hilo tego la shetani.
turudi kwanye misingi yandoa. mimuunganiko wa hiari kati ya mwanaume na mwanamke, pia utampenda na kumweshimu siku zote za maisha yako, katika shida na raha ,taabu na dhiki. mpendana na kuheshimiana hadi kifo kiwatenganishe.
 
hao sijui,hio nimejiongelea mie kwa nini nacheat,i guess msome Kaunga...amekupa majibu tofauti....:redface::redface:
Dada naomba nikuongoze sala ya toba. unatenda dhambi kisha wajisifia. kweli tumerudi enzi za sodoma na gomora. Baba katika jina la Yesu tazama mtumishi wa Neema--------------------------------------------------------------- Amina
 
GIB
Umejibu vyema sana na ninakubaliana na wewe juu ya source ya cheating ni Shetani na ili kuzuia yote ni Hofu ya Mungu!
Sasa twende pole pole; nikifanya yafuatayo (ofcourse kwa influence ya shetani) nitachangia mwenzangu acheat (shetani pia atamuinfluence)
1. Nikimdharau na kumuonesha hafai
2. Nikimyima unyumba
3. Nikiwa namcheat na wanaume wengine
4. Nikiwa mgomvi muda wote, kiasi kwamba nyumba inakosa amani.
5. Nikishindwa kuzaa (sina kizazi)

Au hata nisipofanya chochote
1. Kama ni tabia yake
2. Kamuona mtu mwingine anayeona mzuri zaidi yangu
3. Mapenzi yake yameisha kwangu.
4. Anataka kuonja/kuexplore kungine
N.K

Mimi naweza kukufanyia hayo juu mwanzoni lkn kwa kuwa wewe unahofu ya Mungu ambaye amesema usizini na usicheat, naweza pia nisikufanyie uovu wowote kwakuwa mimi nina hofu ya Mungu na bado ukacheat kwa sababu hapo juu kidogo of course shetani is behind it (umemruhusu awe).

Sasa kwa kuwa shetani na Mungu hatuwaoni, bali tunaonana sisi mume na mke ambao tuna utashi wa kufuata ya shetani (kuleta vituko au kumuignore mwenzio) kunaweza mfanya mwenzio atafute kuthaminiwa/kupendwa kungine. Kama wewe kunitenda hukuchagua kuitumia Hofu ya Mungu, kwanini utegemee mimi niitumie Hofu ya Mungu kureact?

It is very complex na inahitaji Neema ya Msaada. Kikubwa fanya yale ambayo ungependa kufanyiwa!
 
Last edited by a moderator:

Yote kwa yote tukubaliane ni mpango mkakati wa shetani wa shetani kuitawala dunia kiuraisi. jua viongozi bora weserikali na kanisa wanatoka kwenye familia bora.
Fanya utafiti kwa wale watoto wa mitaani wanao tokana na ndoa kusambaratika au watoto wanje ya ndoa. wengi wawaindi shule wanapitia magumu mengi , wanabakwa na kulawitiwa . mwisho wa siku hawa watakuwa wakatili kuliko maeelezo. hiyo ndiyo kazi ya shetani.
Nini cha kufanya wanaume kwa wanawake wote tumrudie Mungu. Inabidi watu wafundishwe nini maana ya ndoa kwa ufasaa wajue faida na hasara ya ndoa kabla hawajaingia kwenye ndoa.
Mbona wachungaji wanasomea uchungaji kwa miaka 4, mapadri wanasoma miaka zaidi ya kumi ila awe padri. hivyo vijana wafundishwe kiufasaa nini maana ya ndoa wa jue siyo sehemu ya kwenda kujaribu.
Fanya utafiti watu wenye ndoa zenye mgogoro wengi wanakuwa na phycological problem kiasi kwa hata production yao inapungua. yote hayo ni huyu shetani hivyo tumrudie Mungu
 
kama mume hatumii, hataki au hafanyi utundu wa kula EXPRESS YOURSELF wakati mie nishazoea!

Kaunga - huu kama siyo ushetani ni nini? tanarudi kule kule kwa sodoma na gomora. mwenye akili amrudie Mungu wake mapema kabla mambo yayajaaribika
 
Hii ndo Id yangu,
 
Jambo kubwa hapa ni maadili aliyokulia mtu
Lakini cha muhimu zaidi ni kumuogopa Mungu kwa kushika Amri zake
 
Jambo kubwa hapa ni maadili aliyokulia mtu
Lakini cha muhimu zaidi ni kumuogopa Mungu kwa kushika Amri zake
-hili nalo neno,lakin kwa wale wanaume wasioweza kupanda mlima na hawakubal mapungufu yao unawasaidiaje?
 
 
hii bana imekaa kiimani zaid na kimaadili tu. kimsingi sababu zote zatoka kwenye dhamira ya ndani ya mtu husika.
 
sababu ni kama hizo zinazofanya wanaume wa'cheat' tofauti ni kwamba wanawake tunachukua muda mrefu sana kuamua kutoka nje.
 
Mwanamke kutoka nje ya ndoa ni vigumu sana kama anakupenda, lakini tatizo liko kwetu sisi hata tukipenda wake zetu lazima tukajidharaulishe kwa wanawake wengine tumeisha zowea kukaa uchi :A S thumbs_down:
 
Sababu kubwa ni jinsi wanavyokuwa treated na waume zao, ila kwa wengine ni tamaa ya kutaka maisha ya juu tofauti na wanayoyapata kwa waume zao
 
Dada naomba nikuongoze sala ya toba. unatenda dhambi kisha wajisifia. kweli tumerudi enzi za sodoma na gomora. Baba katika jina la Yesu tazama mtumishi wa Neema--------------------------------------------------------------- Amina


toa kibanzi katika jicho lako ndio utoe boriti kny jicho la mwenzakoQ!!!!:sleepy:
 
Kaunga - huu kama siyo ushetani ni nini? tanarudi kule kule kwa sodoma na gomora. mwenye akili amrudie Mungu wake mapema kabla mambo yayajaaribika

I know, mimi nilichoose kumuignore sikutaka kumpa promo kwa upuuzi kama huo!
 
1. Just because they can.
2. Wanapokuwa ignored by waume zao na admired by other men.
3. Wanapokuwa cheated.
4. Wanapotafuta kitu au nafasi.
5. Wasipotoshelezwa kingono na waume zao.

Hizi ni possible sababu ninazodhani kwanini wanawake hucheat!

Naona umetoa uzoefu wako. Wanaotoka nje wote ni wazinzi tu
 
toa kibanzi katika jicho lako ndio utoe boriti kny jicho la mwenzakoQ!!!!:sleepy:

ila naamini ujumbe umefika. ukiona unatenda kosa kisa unajisifia ujue dhamira yako ilisha kufa zamani tu. ugojwa huo unaitwa upungufu wa kinga rohoni. Ushauri wangu ni kwamba mtu muovu akiacha uovu wake akitubu atasamehewa ila asipotubu atakufa mwili na roho
 
kwa wengine cheating ni tabia tu, it doesn't matter anatoshelezwa au anakuwa cared for kwa kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…